Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754

Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.

Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.

Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.

Nimechokoza mada
 
View attachment 2932431

mmebaki watanganyika wangap kwani 🐒

maana ndio mnaifahamu...
wazaliwa wa kuanzia 1965 hawaelewei wala kupoteza muda na kudai wasichokijua....
Wamezaliwa Tanzania na watamlinda Mama Tanzania kwa nguvu zote na si vinginevyo 🐒
 
TUNATAKA TANGANYIKA YETU
 
Tanganyika ni haki yetu. Tunaihitaji.
 
Watu weny akili ndogo ndio wanaweza kujadili sehemu ndogo kama ile .

Huo muungano kamkamateni Nyerere ndio aliyataka ...Bora kuwa kama Zanzibar kuliko pesa kupelekwa kujenga jangwani pale Dodoma.

Zenji wazalendo la sivyo wangekuwa nyuma mara 100 ya walipo.
 
View attachment 2932431

Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.

Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.

Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.

Nimechokoza mada
Kabla ya Tanganyika dai Nchi ya Mrima kwanza
 
Muundo mzuri wa serikali ni kwamba, nchi za Tanganyika na Zanzibar zisiwepo kikatiba, ili kuunda serikali moja ya JMT, ama la, zote mbili ziwepo, na pia ziwepo serikali tatu, huku moja ikiwa ndiyo ya JMT yenye majukumu ya kusimamia mambo ya muungano tu.
 
mmebaki watanganyika wangap kwani 🐒

maana ndio mnaifahamu...
wazaliwa wa kuanzia 1965 hawaelewei wala kupoteza muda na kudai wasichokijua....
Wamezaliwa Tanzania na watamlinda Mama Tanzania kwa nguvu zote na si vinginevyo 🐒
Mdharau kwao...
Historia haipotei
 
View attachment 2932431

Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.

Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.

Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.

Nimechokoza mada
POINT
 
Tuwe na kura ya maoni kuhusu Tanganyika ili watanganyika waonekane
Hili la kura za maoni ndo jambo linalowafanya viongozi kujikunyata kwa hofu.

Badala ya kuuboresha Muungano, wao wanaulinda hata kama una kero lufufu.

Ndoa unapoamua kuiwekea ulinzi mkali bila kutatua changamoto zake ni kujitafutia anguko la jiwe kwenye maji
 
View attachment 2932431

Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru.

Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema.

Muungano uwepo lakini Tanganyika irudi kwenye meza ya muungano. Kama tunataka nchi ya Tanzania basi Zanzibar ikubali nayo kumezwa isiwe na serikali, bendera na wimbo wake wa Taifa kama ilivyo sasa.

Nimechokoza mada
Ccm ndio chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi.
 
Back
Top Bottom