mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  2. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

    Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko, Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
  3. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Tunamshauri arudiane na mkewe: Waliachana baada ya mume kuzaa nje ya ndoa

    Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe. Sasa miaka 5 iliyopita bro wangu alikuwa na mchepuko, sasa katika kuchepuka nae, yule dada alibeba ujauzito wake. Bro...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
  5. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  10. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichombadilisha mume tabia.

    🗯️
  12. KusiniKuchele

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Habari wana JF? Natafuta mume awe na sifa: -Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki) -Umri 35-45 -Amejiajiri/Kuajiriwa -Elimu angalau degree moja na kuendelea -Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia Kuhusu mimi -Umri 31years, -Kabila Mwiraqw(Manyara) -Nina degree moja...
  13. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
  14. Kamulimuli

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuolewa/kuoa tena Na Mume/Mke wako kwenye Maisha Mengine.

    Kwa walioko kwenye ndoa na walio wahi kuwa kwenye Ndoa..Ikitokea Muda ukarudi nyuma..au kukawa na Maisha mengine baada ya haya.Je utakubali kuolewa/kumuoa tena huyo mwenzi wako?
  15. Engager

    JamiiForums Tanzania Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  16. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitaka

    Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  18. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kweli

    Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi. Kazi yangu ni mjasiriamali. Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu...
  19. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  20. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
Back
Top Bottom