Tabora: Mume amuua mkewe na kumfukia chini ya uvungu wa kitanda.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Salima Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidogo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mumewe kisha mwili wake kufukiwa chumbani, chini ya uvungu wa kitanda.

Mwili wa marehemu tayari umefukuliwa na Jeshi la Polisi limetangaza kumsaka mtuhumiwa wa mauaji hayo, ambaye alitoweka kusikojulikana baada ya kutekeleza tukio hilo.

Chanzo: Nipashe
 
'Domestic violence'.....misingi ya kifamilia inapoharibika ni hatari kwa kila mmoja.
 
Back
Top Bottom