Stori ya Kweli: Nguvu za kiume za mume wangu

Kwa majina naitwa Happy ikiwa namaana ya furaha ila ki ukweli hiyo furaha sina kwa kweli ni shida na matatizo makubwa yananisonga kila kukicha. Katika harakati zangu za maisha huku na huko zilinipelekea hadi kufika Zanzibari, huko nilikuwa nafanya kazi katika hoteli moja tu kubwa ya nyota tano hii ni mwaka ni mwaka 2017.
1680089427639.png

- Simulizi ya kwanza ulivaa uhusika wa 'ME' na ushauri tukatoa
na
- Hii simulizi ya pili wewe ni 'KE'
=
Weka wazi kuwa ni Hadithi, ili kuondoa utata
=
Kwa majina naitwa Happy ikiwa na maana ya furaha ila kiukweli hiyo furaha sina kwa kweli ni shida na matatizo makubwa yananisonga kila kukicha. Katika harakati zangu za maisha huku na huko zilinipelekea hadi kufika Zanzibari, huko nilikuwa nafanya kazi katika hoteli moja tu kubwa ya nyota tano hii ni mwaka ni mwaka 2017.
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, ninaishi Dodoma mjini.

Mwaka 2014 wakati nipo chuo nilibahatika kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi anaitwa Nurath,
huyu ni binti ki ukweli mimi sikumpenda au sikumtongoza kwakuwa nampenda au ni mzuri kufikia kiwango kile ninachotaka mimi ila ni mzuri.
 
Pole Dan kwa kuwa na kidudu kidogo.

Umejidai mwanamke unamtafutia mumeo tiba, kumbe wewe ni dume unahitaji tiba.
 
Njooo... ERoni nimeona ni vyema tukumbukane sisi wenyew maana wenzetu nikama wana vilemba!!🤗🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom