Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

The Mafia

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
251
531
Wanangu hawakuwa boarding school.
Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na kwakweli tulifanikiwa katika yote tuliyoyafanya lakini sio katika malezi ya watoto wetu, damu na nyama yetu.

Tulikuwa na watoto wawili, Kunle wa kwanza na Tola wa pili. Kunle alikuwa ni mdadisi na muuliza maswali kwa kila kitu hadi alikuwa na jina la utani "mchunguzi". Baba yake na mimi tulichoka maswali yake hata tukaanza kufunga mlango wa chumbani kwetu mara tu tukitoka kazini. Jinsi gani natamani ningejua mapema.

Wakati Kunle ana miaka minne, alikuwa ana akili sana zaidi ya wenzake na alikuwa mchangamfu sana, yaani huwezi kupoa ukiwa naye. Alimpenda dada yake sana na tulijivunia yeye mno. Baba yake na mimi tulikuwa na uhakika kuwa Kunle pia atakuja kuwa daktari kama sisi.

Tuliwapenda sana watoto wetu na tulikuwa na mipango ya kuwapa kilicho bora zaidi kwenye kila kitu ingawa tulikuwa bize sana, na muda mwingi hatukuwepo nyumbani kwa sababu ya asili ya kazi yetu. Hili lilitufanya tutafute mdada wa kazi na pia tukawa tunaishi na mmoja wa mashemeji zangu.

Siku moja nilirudi kutoka kazini nikiwa nimechoka sana na mwanangu Kunle akanikimbilia na kuniuliza.
"Kwanini kila siku unafunga mlango wenu wakati wote wewe na baba mkiwa chumbani?"
"Je Uwa mnanyonyana midomo (romance) na baba yangu?"
"Kwanini usinyonye na wangu pia?"

Nilikasirishwa naye sana, nilimpiga sana na kesho yake nikamripoti kwa mwalimu wake. Tuliamini baadhi ya rafiki zake walikuwa wanajua mambo ya wakubwa na labda tayari wameangalia filamu mbaya. Mwisho wa muhula, tuliwatoa Kunle na Tola shuleni hapo.

Hatukuwaruhusu yeye na dada yake kuangalia televisheni nyumbani na pia tukawakataza kuwatembelea rafiki zao na majirani. Tulifanya yote hayo kutunza ufahamu wa watoto wetu lakini kumbe hatukujua kilichokuwa kinafanyika chini ya dari yetu.

Miaka miwili baadaye, kuna siku nlienda nyumbani mapema kuliko kawaida yangu kwa ajili ya kuchukua document fulani. Niligundua kuwa mlango haujafungwa na palikuwa kimya sana. Nilinyata ili kuwafanyia wanangu 'suprise' ya utani kidogo, ndipo nilipomkuta baba yao mdogo (yule shemeji yangu) na dada wa kazi wakiwa sebleni na wanangu wakiangalia video ya ngono.

Nachukia sana kuikumbuka ile siku. Hawakuwa tu wakiangalia video ya ngono bali pia wote walikuwa uchi, wakifuatisha kile walichokuwa wakikiangalia.

Niliwafukuza nyumbani kwangu dada wa kazi na shemeji yangu lakini tayari mbegu ilikuwa imeshapandwa ndani ya wanangu. Wakati nikilia , mwanangu Kunle wa miaka 6 alinifata na kusema, Mama kwanini unalia, Anko na anti walikuwa tu wanatufundisha jinsi ya kuwa baba na mama wazuri. Nilipatwa na mshtuko na sikuwa najua kabisa kuwa hili jambo lilikuwa limeendelea kwa miaka miwili na wanangu walikuwa wameshajazwa kichwani upotofu huo wakiwa bado na umri mdogo.

Tulikuwa bado hatujagundua matokeo ya jambo hilo katika maisha yao mpaka tulipowafuma wote wawili wakifanya mapenzi mara kadhaa, yaani hazihesabiki. Tola na Kunle hawakuendelea tu na hilo lakini wakawa wameshashibana mioyo na kufikiriana sana.

Baba yao na mimi tulilitunza hili kama 'siri yetu ndogo' maana tulifahamika sana katika jamii iliyotuzunguka pale mtaani . Kila tulipowakuta wakifanya tendo hilo, tulijaribu kuwasahihisha kwa upendo huku machozi yakitutiririka kwenye nyuso zetu. Walituahidi kwamba watabadilika. Tulikuwa tumetoa mimba tatu kwa binti yetu Tola kwakuwa hatukuweza kustahimili matokeo haramu ya mahusiano ya kimapenzi kati yao.

Siku moja mbaya zaidi, Tola alitufuata na kutuambia ana ujauzito wa Kunle tena. Baba yake alisisitiza mimba itolewe kama kawaida, lakini safari hii tulimpoteza binti yetu wa miaka 13 wakati wa utoaji mimba hiyo. Kunle alipojua Tola amefariki hakuzungumza tena na baba yake wala mimi. Akaondoka nyumbani.

Miezi mitatu baada ya Kunle kuondoka nyumbani, tulipokea simu kutoka hospitali ikituambia mtoto wetu alikuwa na hali mbaya na alikuwa ICU. Tulipofika, Kunle alikuwa amelala hajitambui. Alikuwa amekunywa sumu.

Hatimaye, alirudiwa na fahamu na tukafurahi sana, alitutazama tukiwa tumeketi pembeni ya kitanda na akatuambia jinsi gani anatuchukia sana kwa kumuua dada yake. Tulimbembeleza na kumuomba msamaha. Kesho yake tulipoenda hospitali tulimkuta ameshafariki kwa kukosa hewa baada ya yeye mwenyewe kutoa mpira wa oksijeni uliokuwa unamsaidia kupumua.

Sasa nina miaka 74 na ni mjane. Mume wangu hakuweza kujisamehe, alifariki kutokana na msongo mawazo miaka 15 iliyopita. Ninajutia miaka yangu ya ujinga kila siku, Natamani ningeanza upya.

Sijawahi kuiambia familia yangu siri hii hadi hii leo. Sijui kama hadithi yangu inaweza kuwa msaada kwa wazazi wengine. Nimechoka kubeba mzigo huu moyoni mwangu bila kumwambia mtu.

Pia nina furahi sababu hatimaye nimepata ujasiri wa kumwambia mtu leo.

Oh! maisha yangu.
 
Screenshot_20230403-131039~2.jpg
 
km ni kwel pole sana, na stor yako itaelimisha sana jamaa juu ya malezi ya watoto nyumbani
Pole sanaa

km ni hadith ya kutunga pia, umeweza kuteka fkra za wasomaji
Hongera
 
Pole sana daktari .
Ila nikupongeze kwa kuongea hili jambo sababu najua sasa umepata ahueni moyoni .

Rafiki GoldenRatio haujachelewa kupona majeraha yako bali muda ni sasa ,kwa imani yako Muombe msamaha kwa yote yaliyopita , jisamehe na itoshe wewe kusimulia hapa .

Anza maisha upya , Haujachelewa muda ni sasa pole sana .
 
Huwez kuta hayo maujinga kwa sisi kuku wa kienyeji....hapo ilikua kutembeza bakora mpaka wajinyee,eti mzazi unamwomba mtoto msamaha kwel?tena kwa ujinga huo?yaani gete bhabehi lyashilile elilange...shaur yenu na malez ya et waliostaarabika!
 
Nimejikuta nawafikiria wanangu wakike wawili,abigael na adriel,mungu anipe hekima ili nihakikishe nawakuza vema
 
Samahani mtoa mada ( daktari) haya yalitokea ukiwa na umri gani Kama sasa ivi unamiaka 74 mathematically yalitokea zaidi ya miaka 40 iliyopita ambapo ni Kama miaka ya 80's .

Kwa miaka hio sidhani Kama Tanzania tulikua na access na phonographic movies .
Mtoa mada ndo alkua kwenye hzo movies
 
Nadhan stori au simulizi hii n kwa maisha ya nchi za mbele s nch za kiafrika sababu tatizo lingeweza kuepukika vizuri

Na kwa umri wako pornography bongo zilikuwa Bado sana
 
Wanangu hawakuwa boarding school.
Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na kwakweli tulifanikiwa katika yote tuliyoyafanya lakini sio katika malezi ya watoto wetu, damu na nyama yetu.

Tulikuwa na watoto wawili, Kunle wa kwanza na Tola wa pili. Kunle alikuwa ni mdadisi na muuliza maswali kwa kila kitu hadi alikuwa na jina la utani "mchunguzi". Baba yake na mimi tulichoka maswali yake hata tukaanza kufunga mlango wa chumbani kwetu mara tu tukitoka kazini. Jinsi gani natamani ningejua mapema.

Wakati Kunle ana miaka minne, alikuwa ana akili sana zaidi ya wenzake na alikuwa mchangamfu sana, yaani huwezi kupoa ukiwa naye. Alimpenda dada yake sana na tulijivunia yeye mno. Baba yake na mimi tulikuwa na uhakika kuwa Kunle pia atakuja kuwa daktari kama sisi.

Tuliwapenda sana watoto wetu na tulikuwa na mipango ya kuwapa kilicho bora zaidi kwenye kila kitu ingawa tulikuwa bize sana, na muda mwingi hatukuwepo nyumbani kwa sababu ya asili ya kazi yetu. Hili lilitufanya tutafute mdada wa kazi na pia tukawa tunaishi na mmoja wa mashemeji zangu.

Siku moja nilirudi kutoka kazini nikiwa nimechoka sana na mwanangu Kunle akanikimbilia na kuniuliza.
"Kwanini kila siku unafunga mlango wenu wakati wote wewe na baba mkiwa chumbani?"
"Je Uwa mnanyonyana midomo (romance) na baba yangu?"
"Kwanini usinyonye na wangu pia?"

Nilikasirishwa naye sana, nilimpiga sana na kesho yake nikamripoti kwa mwalimu wake. Tuliamini baadhi ya rafiki zake walikuwa wanajua mambo ya wakubwa na labda tayari wameangalia filamu mbaya. Mwisho wa muhula, tuliwatoa Kunle na Tola shuleni hapo.

Hatukuwaruhusu yeye na dada yake kuangalia televisheni nyumbani na pia tukawakataza kuwatembelea rafiki zao na majirani. Tulifanya yote hayo kutunza ufahamu wa watoto wetu lakini kumbe hatukujua kilichokuwa kinafanyika chini ya dari yetu.

Miaka miwili baadaye, kuna siku nlienda nyumbani mapema kuliko kawaida yangu kwa ajili ya kuchukua document fulani. Niligundua kuwa mlango haujafungwa na palikuwa kimya sana. Nilinyata ili kuwafanyia wanangu 'suprise' ya utani kidogo, ndipo nilipomkuta baba yao mdogo (yule shemeji yangu) na dada wa kazi wakiwa sebleni na wanangu wakiangalia video ya ngono.

Nachukia sana kuikumbuka ile siku. Hawakuwa tu wakiangalia video ya ngono bali pia wote walikuwa uchi, wakifuatisha kile walichokuwa wakikiangalia.

Niliwafukuza nyumbani kwangu dada wa kazi na shemeji yangu lakini tayari mbegu ilikuwa imeshapandwa ndani ya wanangu. Wakati nikilia , mwanangu Kunle wa miaka 6 alinifata na kusema, Mama kwanini unalia, Anko na anti walikuwa tu wanatufundisha jinsi ya kuwa baba na mama wazuri. Nilipatwa na mshtuko na sikuwa najua kabisa kuwa hili jambo lilikuwa limeendelea kwa miaka miwili na wanangu walikuwa wameshajazwa kichwani upotofu huo wakiwa bado na umri mdogo.

Tulikuwa bado hatujagundua matokeo ya jambo hilo katika maisha yao mpaka tulipowafuma wote wawili wakifanya mapenzi mara kadhaa, yaani hazihesabiki. Tola na Kunle hawakuendelea tu na hilo lakini wakawa wameshashibana mioyo na kufikiriana sana.

Baba yao na mimi tulilitunza hili kama 'siri yetu ndogo' maana tulifahamika sana katika jamii iliyotuzunguka pale mtaani . Kila tulipowakuta wakifanya tendo hilo, tulijaribu kuwasahihisha kwa upendo huku machozi yakitutiririka kwenye nyuso zetu. Walituahidi kwamba watabadilika. Tulikuwa tumetoa mimba tatu kwa binti yetu Tola kwakuwa hatukuweza kustahimili matokeo haramu ya mahusiano ya kimapenzi kati yao.

Siku moja mbaya zaidi, Tola alitufuata na kutuambia ana ujauzito wa Kunle tena. Baba yake alisisitiza mimba itolewe kama kawaida, lakini safari hii tulimpoteza binti yetu wa miaka 13 wakati wa utoaji mimba hiyo. Kunle alipojua Tola amefariki hakuzungumza tena na baba yake wala mimi. Akaondoka nyumbani.

Miezi mitatu baada ya Kunle kuondoka nyumbani, tulipokea simu kutoka hospitali ikituambia mtoto wetu alikuwa na hali mbaya na alikuwa ICU. Tulipofika, Kunle alikuwa amelala hajitambui. Alikuwa amekunywa sumu.

Hatimaye, alirudiwa na fahamu na tukafurahi sana, alitutazama tukiwa tumeketi pembeni ya kitanda na akatuambia jinsi gani anatuchukia sana kwa kumuua dada yake. Tulimbembeleza na kumuomba msamaha. Kesho yake tulipoenda hospitali tulimkuta ameshafariki kwa kukosa hewa baada ya yeye mwenyewe kutoa mpira wa oksijeni uliokuwa unamsaidia kupumua.

Sasa nina miaka 74 na ni mjane. Mume wangu hakuweza kujisamehe, alifariki kutokana na msongo mawazo miaka 15 iliyopita. Ninajutia miaka yangu ya ujinga kila siku, Natamani ningeanza upya.

Sijawahi kuiambia familia yangu siri hii hadi hii leo. Sijui kama hadithi yangu inaweza kuwa msaada kwa wazazi wengine. Nimechoka kubeba mzigo huu moyoni mwangu bila kumwambia mtu.

Pia nina furahi sababu hatimaye nimepata ujasiri wa kumwambia mtu leo.

Oh! maisha yangu.
Inafundisha ila ni fiction story
 
Tuliwapenda sana watoto wetu na tulikuwa na mipango ya kuwapa kilicho bora zaidi kwenye kila kitu ingawa tulikuwa bize sana, na muda mwingi hatukuwepo nyumbani kwa sababu ya asili ya kazi yetu. Hili lilitufanya tutafute mdada wa kazi na pia tukawa tunaishi na mmoja wa mashemeji
Hakuwapenda!
Mngewapenda mngewapa muda watoto wenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom