Natafuta mwenza (mume)

Status
Not open for further replies.

Blacky_

New Member
Mar 1, 2023
2
12
Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)

Sifa zangu;

Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector

Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.

Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)

Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.

Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com

Cheers!
 
Last edited:
Utakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.

Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet tu.
 
Utakuwa una gundu hasa. Ni nadra sana kwa tangazo la mwanamke kutafuta mwenza likachukua masaa bila wachangiaji. Toka saa tano asubuhi watu wamelilia bati.

Anyways umeruka kipengele cha muhimu sana katika maelezo yako, hujasema kama una chura. Maana kama ni flat screen basi wewe ni 'mkuu' tu kama sisi.
Bila ya chura tubishane kuhusu mpira na kubet.
Watu wako busy na mpemba mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom