Kumbe historia ni muhimu!

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
1621433965222.png
 
Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena.
Kweli mkuu umesahau lile la watanzania kukataa kumchagua mkimbizi wa Ubelgiji kwenye uchaguzi wa 2020.
 
Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena.
kila sehemu unahisi mwendazake yupo.

akili zako zinataka umsahau,ila mattako yako yanatikisika kukumbusha huwezi msahau.

yess,ndio maama tunasema hawezi sahaulika.ila mnapenda ubishi tu.
 
Hamna haja ya kufundishwa mashuleni. Historia za kina Chief Mangungo na Kinjikitile za nini kwa sasa?
Ziandikwe na kusomwa kwenye vitabu ila sio kufundishwa mashuleni mnawaongezea vijaba wetu mizigo.
 
Back
Top Bottom