Ungekuwa Wewe ndiyo Mtangazaji mahiri na mweledi wa Michezo Kipindi cha Sports Arena Wasafi FM, mada ipi kati ya hizi ingekuwa ni ya Muhimu zaidi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,864
Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala?

Au

Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3 kwa 0 na Simba SC?

Kuna Mtangazaji Mmoja ' Mpuuzi ' aliyerejea kutoka Kuwajibika na Kushughulikiwa vyema huko Helsinki Finland na Uingereza na Wadau wake Yeye kila awapo Studioni na Kuendesha Kipindi Wasafi FM (katika Kipindi cha Sports Arena) anachojua ni kuja na Taarifa (Habari) Hasi (Mbaya) tu za Kuihusu Simba SC, Kuichokonoa na Kuichafua huku akitamani Furaha na Amani isitamalaki kwa Mwekezaji wa Simba SC na ndani ya Mioyo ya wana Simba SC wote duniani.
 
Hiv kwanini team yetu ya Simba inapenda kusifiwa Sana ikikosolewa kwa hoja inakuwa nongwa.Maulidi kitenge kasema kwamba kutokana na team zingine kutoingiza mashabiki viwanjani zaidi ya Simba pekee hii advantage ilitakiwa itumiwe vizuri na Simba kwenye hii michuano ya caf champions league hapa kosa lake ni lipi?
 
IMG_20210524_113849.jpg
 
Kucheza na mashabiki sio kigezo cha kutofungwa, hao jamaa wangetaka waingize mashabiki sidhani kama wangekataliwa, Kitenge ni snitch fulani kitambo sana, labda utakuwa humjui vizuri, huyo mchawi hajawahi kuwa na jema kwa Simba SC, ni kuwanga tu.
 
Na sijui kwanini Simba SC inamlea sana.
 
Kucheza na mashabiki sio kigezo cha kutofungwa, hao jamaa wangetaka waingize mashabiki sidhani kama wangekataliwa, Kitenge ni snitch fulani kitambo sana, labda utakuwa humjui vizuri, huyo mchawi hajawahi kuwa na jema kwa Simba SC, ni kuwanga tu.
Huyu mbwiga kidoti alitengeneza movie yake juzi kamkodi mtu kwenda kupasua nazi nje ya Uwanja wa Mkapa huku wakimrekosi kuanzia mwanzo hadi mwisho ili kuiharibia Simba. Huko ughaibuni anakokwenda yaelekea wanamguasa gusa tu ndiyo maana ana moto sana.
 
Siku tarajia ata Kama umbumbumbu upo kwa kiwango hiki, ivi ata Kama Simba Inge ingiza wachezaji 11 katika kikosi Cha wiki Cha CAF ingebadilisha lolote katika kuondolewa katika mashindano!! Ivi sisi Watanzania nani katuloga kushangilia vitu vya kipuuzi?
Ndio maana soka letu ni ngumu kupiga hatua, tunapenda Sana kusifiana upuuzi.
 
Back
Top Bottom