MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
Naombeni muongozo. Sina connection TRA.
Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana.
Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.
Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.
Wewe pamoja na kinana mlikuwa na...
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuanza upya, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!
Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kurekebisha makosa yangu, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!
Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuisikia hii sauti ya sasa ndani yangu, lakini nagundua...
Wanabodi habari za mchana.
Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana!
Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn?
Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO.
1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida.
2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa .
3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
Salam wadau wa afya,
Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni.
Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni.
Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi.
Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
23 February 2024
Morogoro, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU
Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka.
Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan.
Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina.
Mikakati iliyotajwa na...
Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi
Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo.
Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu.
Taarifa zinaeleza kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Brigedia Jenerali Amara Camara amewataka Mawaziri wote...
Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi.
Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.