uvivu ni adui mkubwa kwa ujenzi wa Taifa 🐒Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
View attachment 2912348
Watakuambia tunanunua zaidi kuliko kuuza kwa mataifa kifupi sisi ni taifa la wachuuzi. ( wamachinga)Ndio maana mimi kwenye ile 24 hrs as a president wa nchi hii,nitabadilisha mandate ya BOT kutoka iliyopo sasa(too much politics)kuwa ku control and monitor inflation rates, na kuipambania sarafu yetu,pia nitaondoa all zeros na kubakisha 100 note only na nita ichomeka kwa Pula
uvivu ni adui mkubwa kwa ujenzi wa Taifa 🐒
Naombeni mtaalamu kidogo anieleweshe madhara ya hii kwenye bei ya vitu vya nje? Je dollar ikipanda ndo husababisha mfumko wa bei?Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
View attachment 2912348
ewe ndugu yangu, amka kumekucha..Kwani ndicho kiini hasa kisababishacho njaa
Duh kaingia kwenye 18 mwache azid kuchelewa itafika 3000.Hakika hii ni Habari njema sana kwangu.
Jamaa namdai 'Vidoo' kadhaa muda sasa ana ahirisha kila uchao mwenyewe kunilipa akidhani ni ujanja...