muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtini

    JamiiForums Tanzania Benchika kocha jina, muda utaongea

    Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
  2. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

    Ndugu zangu Watanzania, Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Imeshuhudiwa...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini. Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi za Muda TAMESA Aprili, 2024

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245. Majukumu yake makubwa ni kutoa Huduma za Matengenezo ya Magari na Mitambo, Huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya Matengenezo ya Taa za Barabarani, kufanya Matengenezo...
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM isione aibu, muda bado upo

    Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa. Bila kuwa mwanasiasa hakuna atakachokieleza kwenye uenezi wake, ukweli lazima usemwe kati yao hakuna hata mmoja...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

    Jana nimekwenda posta kununua stempu na kuposti barua kwenda UK(United Kingdom). Baada ya kuiweka stempu nikamuuliza yule mdada barua itasafiri vipi? Akasema, ile barua itapelekwa Dar es Salaam kwanza. Nikasema,"Oh! kwa hiyo itaondoka ya ndege jioni?" Akasema,"Hapana. Haitandoka leo. The...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

    Shalom,Salaam!! Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo, Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea uchaguzi, muda uliopo utamtosha kupata team Imara ya kuaminika kuipa ushindi timu yake Kwa haki? Na...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia muda gani mrefu kufukuzia Mwanamke?

    Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu? Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia. Yani ile staki nataka. Tiririka Mkuu....
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa. Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha. Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Sheria ya Ukomo inayompa Waziri wa Katiba na sheria kuongeza muda wa ukomo wa kufugua mashauri ni batili

    Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act) vinapingana na katiba na hivyo ni Batili. 1. Vinamnyima mtu haki ya kusikilizwa 2. Vinamnyima mtu haki...
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tips zitakazokusaidia kutunza gari lako likadumu muda mrefu zaidi

    Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni kweli tatizo linaweza kua gari lenyewe, miundombinu yetu, mmiliki/dereva, hali ya hewa na sababu...
Back
Top Bottom