mtu

  1. JamiiForums Tanzania Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

    Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  3. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amezaa na mke wa mtu

    Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Unakuta Kuna mtu Anazaidi ya miaka 22 na hajawahi kumuona diamond live!?

    Ebu wabongo kuweni seriously kidogo na maisha jamani khaa🤣🤣🤣 Otikii otikiii hii imeenda
  6. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mke wa mtu ni sumu na mme wake hafi!?

    Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu. Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?
  7. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna watu wanaoamini kuwa Lowassa alikuwa ni mtu mbaya?

    Lowassa alikuwa na madhaifu yake, lakini inawezekana hakuwa mbaya kiwango ambacho wanasiasa waliokuwa wana chuki naye walikuwa wakimtuhumu. Pamoja na madhaifu yake, alikuwa kiongozi mzuri. 1. Utendaji wake alipokuwa waziri wa maji alidhihiriaha hilo. 2. Mbinu zake za kuweza kushawishi makundi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa bajeti kwa mtu anelipwa 150k kwa mwezi

    Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
  9. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake 4.Hata wewe ni wale wale tu. 5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume. KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
  12. JamiiForums Tanzania Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi. 1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana. Sasa kuna mtu mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

    Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  16. JamiiForums Tanzania Wamilki wa Mbwa, hivi hua mnawaza nini unaona mtu anakaribia kung'atwa na unamuambia asijali?

    Hawa watu hua najiulizaga, akili zao wote zinafanana, Mazoea yao na mbwa wao wanachukulia kila yule anayo.. Mtu dude unaona kabisa linakuja kwa kasi, unajichekesha tu "hahahaaaa usijali hang'ati" unamsemea mbwa? Hakuna mbwa anayekuja kwa Mgeni(anaamini ni adui) kwa kukukimbilia na kubweka asiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Ogopa sana, Usikutane na mtu asiekuwa na cha kupoteza

    kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza, mtumishi wa serikali ya Tanzania ambae amefanya kazi muda mrefu na hana maendeleo.. Mwanamke anaeishi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama hutaki Kumsaidia mtu acha lakini siyo kumsaidia na kuonesha uko nae katika Shida na Dhiki zake halafu akifanikiwa unatapa kuwa Umemuinua

    Mwenyezi Mungu ni SHAHIDI kama kuna Mtu ambaye nadhani kama Watu ambao tumejitoa Kuwapigania Watu wakiwa na Maisha yao ya chini na tungelipwa Fadhila zao ( hasa Pesa ) basi leo hii GENTAMYCINE ningekuwa nafukuzana na Tajiri Kibyongo wa Simba SC kwa Utajiri. Lakini Masikini ya Mungu Mzanaki na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu mwenye ushuhuda wa bati za chengachenga zilizowahi kupauka?

    Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, huku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni zinauza kwa gharama ya juu kisa jina tu la brand ila katika ubora kuna kampuni zenye mabati bora ila...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

    huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…