Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,274
2,648
Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.

Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani utani wa hapa na pale.

Ikatokea siku katika mazungumzo yenu yakutaniana taniana mliyoyaibua juzijuzi, mwishoni akikuaga akakwambia 'Msalimie wifi', bro, wala hata usijihangaishe kuwaza anamaanisha nini. Ameshakuelewa huyo. Anakutengenezea njia upite nae.
 
Hahahahaha...mkuu ni kweli hii? Kuna mdada juzi kaniambia hivi mie nikabaki kujibu..poa poa

Sasa usije kuniponza nikasema maneno ya moyoni nikajikuta nakula kibuti kingine cha mbavu
 
Back
Top Bottom