Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo dhehebu lolote
Awe na shughuli Hali.
Awe na angalau elimu ya kidato Cha nne.
Asiwe mvuta bangia au madawa la kulevya
Asiwe mama lishe.
Asiwe mshirikina.
Kama mtu atakuwa ananihitaji aje inbox
 
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo dhehebu lolote
Awe na shughuli Hali.
Awe na angalau elimu ya kidato Cha nne.
Asiwe mvuta bangia au madawa la kulevya
Asiwe mama lishe.
Asiwe mshirikina.
Kama mtu atakuwa ananihitaji aje inbox

Wanawake wanajua sana kama umemwacha mwanamke mwingine, it is obvious wewe kwa kiwango kikubwa hujui kutunza au kuishi na wanawake, tayari hiyo ni signal tosha wewe sio mwanaume bado mvulana, so watakukimbia hata upate mwanamke wa miaka 60+

Umeandika sifa za unayemtaka, zako ziko wapi?

Jitazame upya
 
Huu upuuz niliwah fanya,wakat niko na huyo mama ndo nikawa nakutana sasa na pisi pisi haswa na zingine zikawa zinajilengesha kabisa

Baadae nilianza kupoteza hisia nae kabisa mpaka kufikia dudu kulala wakati ipo kunako

Alipata safar na kurudi kwake kwenda kugawana mali na mumewe,alivyofika huko akawa ananiomba sana nihamie alipo ila nilikataa maana ndo ilikuwa chance ya kuachana nae
 
Mtu mzima? Labda ambaye bado damu inachemka na ana ashki ndio utamfurahia kunako majamboz. Watu wazima wengine wa umri huo ni wazembe na wavivu kunako majamboz, unakuta unataka kumkunja na kukimbia spidi kali lakini zoezi hilo linakuwa gumu kwake, anadai unamuumiza mapaja, kiuno, mara mgongo, mara sitaki staili hiyo, anajipangia staili anayotaka wakati we hiyo staili haikupi utamu kunako utamuz. Any way, kama unawapenda majimama kila la kheri, yapo mengi utayapata
 
Hutaki watoto? Sasa majimama ya umri huo bado yanapevuka mayai? Kama unataka jimama lisilozaa, la kupiga shoo tu utapata ila yana changamoto zake. Hutaki mabinti? Sie wenzako wa umri kama wako tunataka mabinti wa kuanzia 18 hadi 25 wasio na watoto. Uzuri wa mabinti ni kwamba wana joto kali sana na unaweza kwenda spidi kali hawachoki.
 
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo dhehebu lolote
Awe na shughuli Hali.
Awe na angalau elimu ya kidato Cha nne.
Asiwe mvuta bangia au madawa la kulevya
Asiwe mama lishe.
Asiwe mshirikina.
Kama mtu atakuwa ananihitaji aje inbox
Wamama wa JF mmefikiwa , changamkieni fursa
 
Back
Top Bottom