Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,398
Screenshot_20240216-182054.jpg
Screenshot_20240216-182644.jpg

Screenshot_20240216-182501.jpg

Screenshot_20240216-182340.jpg


Screenshot_20240216-182808.jpg


Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude

Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
 
Sasa hapo kuna jambo gani la ajabu hapo ?hayo mambo uliyoyaweka hapo hata Iran anayatengeneza sembuse Urusi na china ?
Mbona hivyo vitu vyote ulivyo viweka hapo Urusi imeanza kuvitengeneza zaidi ya miaka 50 iliyo pita?
Tena mpaka sasa Marekani anaitegemea injini za Urusi ili aweze kupeleka wanaanga wake.
 
Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
Acha uongo wewe. Ni lini Urusi walirusha chombo kwenye Sayari ya Mars na kikafika? Watu waliorusha vyombo kwenye sayari ya Mars ni watatu tu mpaka sasa, Marekani, China na Elon Musk. Pia mrusi angeshusha chombo mwezini lazima angejisifu sana.
 
Acha uongo wewe. Ni lini Urusi walirusha chombo kwenye Sayari ya Mars na kikafika? Watu waliorusha vyombo kwenye sayari ya Mars ni watatu tu mpaka sasa, Marekani, China na Elon Musk. Pia mrusi angeshusha chombo mwezini lazima angejisifu sana.
Mrusi wakwanza kurusha chombo mars na pia wakwanza kurusha chombo mwezini,,Marekani ni wakwanza kurusha chombo chenye binadamu kwenda mwezini ila sio kwamba wengine walikua bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom