Mabaya haya yana faida gani?

Mabaya haya yana faida gani?

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
217
Reaction score
243
Mtu anatesa mtu
Mtu anamuua Mtu
Mtu anamdhulumu Mtu
Mtu ananyanyasa Mtu

Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
 
Mtu unakuta anaitwa jina linamaanisha matako , yaani MAKEBO.

ni mateso sanaa aisee
 
Mtu anatafuna mbususu ya mke wa mtu
Mtu anamuua mtafuna mbususu ya mke wake
 
Huwezi kujua kama wewe ni msamehevu au una upendo hadi mtu akufanyie ubaya wa kiwango cha lami.
 
Umeongea kitaadhima sana.
unajua mengi lakini wenyewe wanadhani ndio kulinda mamlaka kumbe wanakosea sanaaaa!!!
Heshima yako mkuu kwa kuwa na roho ya kujali wengine!!!
 
Back
Top Bottom