Iran imemhukumu kifo mtu aliyetuhumiwa kupeleka taarifa za kiusalama kwa wamarekani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama.

Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la waisrael, Mossad ambayo alikuwa anawapa taarifa kuhusu majeshi ambayo Soleimani alikuwa akiyaongoza.

Qassem Soleimani aliuawa kwa ndege isiyo na rubani mwezi Januari, shambulio lililomuua na Naibu wake, Abu Mahdi al-Muhandis.

Iran walijibu shambulizi hilo kwa kushambulia kambi ya Marekani iliyokuwa Iraq.

===

TEHRAN, Iran (AP) — Iran executed a man convicted of providing information to the United States and Israel about a prominent Revolutionary Guard general later killed by a U.S. drone strike, state TV reported on Monday.

The report said the death sentence was carried out against Mahmoud Mousavi Majd, without elaborating.

The country’s judiciary had said in June that Majd was “linked to the CIA and the Mossad,” the Israeli intelligence agency, and alleged that Majd shared security information on the Guard and its expeditionary unit, called the Quds, or Jerusalem Force, which Qassem Soleimani commanded.

Soleimani was killed in an American drone strike in Baghdad in January.

The strike also killed Abu Mahdi al-Muhandis, deputy commander of Iran-backed militias in Iraq known as the Popular Mobilization Forces, and five others.

Iran later retaliated for Soleimani’s killing with a ballistic missile strike targeting US forces in Iraq. That same night, the Guard accidentally shot down a Ukrainian jetliner in Tehran, killing 176 people.
 
Hiyo ndio hukumu ya msaliti,


Unapoisaliti nchi yako basi hata yule unayempelekea hizo habari,hawezi kukuamini tena baada ya kukamilisha lengo lake,ukishakua msaliti unakua adui wa yule unayempelekea habari na unakua adui wa nchi yako,
Mwisho wa siku msaliti hua hana thamani pande zote mbili,ni sawa na Kondomu ikishatumika.
 
Safi sana. Japo dhambi aliyotenda ni kubwa zaidi ya adhabu aliyopewa, ila angalau kanufaika na juhudi alizofanya kuwezesha maendeleo hasi kwa Taifa lake.
 
Iran walijibu shambulizi hilo kwa kushambulia kambi ya Marekani iliyokuwa Iraq.


Hapa ndio nimepaelewa zaidi
 
Back
Top Bottom