"(MKAPA: HATA WABAYA HUOMBWA KUENDELEA"
Tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa. Yamesemwa mengi na kuandikwa mengi. Yeye hasikii kinachoendelea. Lolote laweza kusemwa na hawezi kukanusha. Hata mimi nimesema na kuandika. Katika kila msiba kuna "kulia...