Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.
Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.
Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips.
Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu.
Basi...
Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta.
Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha.
Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
Uswahiba na hayati
Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na...
Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui.
Ila kwa huyu Nusu...
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani.
Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi.
Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
Habari!
Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika.
Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana.
Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni...
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa...
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.