Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo.
Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
Nchi Ina sheria kwa wanaozivunja wanatakiwa kufikishwa mahakamani lakini tumezoea viongozi wakitaifa wakisema wakosoaji wakaozee jela au wapotezwe, Hawa watu unapowasikia unawachukuliaje?
Mfano sheria ya mtu aliyekosoa au kutukana Ina kifungo cha mwaka mmoja then ukamsikia mwanasiasa anaviambia...
WATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia...
Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels...
Za jumapili?
Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini.
Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka anaanza kuuliza "kuna chakula gani na gani?. Hawezi kusema nataka chakula hiki au hiki. Kama hamna...
Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao?
Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,
Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, "...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
Kiukweli aina hii ya kilema inewafanya wanaume wengi sana kutokua na amani hata wawe matajiri, wanavaa fresh, wacheshi, n.k. yani hakuna kitu wanaogopa kama kushare mwanamke na mtu mwenye umbile kubwa.
Ugonjwa huu naweza kuuita bigsize phobia, mwanaume mwenye umbile dogo anaogopa mwanaume...
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '
Kwa mawasailiano zaidi
Ernest : +255628729873
Naomba ushirikiano wenu
Habari wadau
Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu.
=====
The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira.
Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za...
Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo.
Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.