Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,852
Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui.

Ila kwa huyu Nusu Mtu Udoh Etop David ( Raia wa Nigeria ) Kudadadeki wala msipoteze muda au Kujiulizana kuhusu Kumsajili bali nasema mpeni Mkataba haraka kwakuwa nimegundua licha ya kuwa na Vitu vingi Mguuni ila ana Macho ya Pasi, ni za uhakika, anajiamini na kwa Shida yetu Kuu ( Mama ) ya Wachezaji wa Simba SC kutojua Kucheza ile Mipira ya Juu huyu atakuwa ni Suluhisho ( Tiba ) Kwetu.

Mkiweza achaneni na Pascal Wawa ili asajiliwe huyu baada ya nafasi ya Duncan Nyoni kuchukuliwa na Clatous Chama na nasikia Kuna Mshambuliaji mwingine mzuri anakuja hivyo naomba Bernard Morrison aachwe ili asajiliwe huyo.

Nimemaliza.
 
Wameshindwa mziki wa wala urojo wakikutana na mbavu kama Bangala,aucho au teacher mukoko hahaaa makolo hamna timu
 
Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui.

Ila kwa huyu Nusu Mtu Udoh Etop David ( Raia wa Nigeria ) Kudadadeki wala msipoteze muda au Kujiulizana kuhusu Kumsajili bali nasema mpeni Mkataba haraka kwakuwa nimegundua licha ya kuwa na Vitu vingi Mguuni ila ana Macho ya Pasi, ni za uhakika, anajiamini na kwa Shida yetu Kuu ( Mama ) ya Wachezaji wa Simba SC kutojua Kucheza ile Mipira ya Juu huyu atakuwa ni Suluhisho ( Tiba ) Kwetu.

Mkiweza achaneni na Pascal Wawa ili asajiliwe huyu baada ya nafasi ya Duncan Nyoni kuchukuliwa na Clatous Chama na nasikia Kuna Mshambuliaji mwingine mzuri anakuja hivyo naomba Bernard Morrison aachwe ili asajiliwe huyo.

Nimemaliza.
Bangi za kuvutia chooni zinaharibu akili zako. Baada ya miezi kadha wa kadha utaanza kubeba makopo.
 
Mchezaji Kama yule kutoka Nigeria na Ile height yake alafu Hana timu anafanyiwa majaribio Tanzania ujue hapo hakuna kitu tutapigwa na kitu kizito
 
Back
Top Bottom