Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Uswahiba na hayati

Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.Watanzania.
 
Kiukweli tumepigwa kidole
Nikumegee mazungumzo yao;

Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"

Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."

Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.

Toka wakati ule wakanuniana.
 
...uswahiba na hayati

...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.

Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Kumbeee eeh
 
Tunaenda Isimani kutambika
 
Kwani tulikuwa tunasubiria dodo kwenye mnazi?
 
...uswahiba na hayati

...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa

...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA

Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.

Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Weka ushahidi!

Vinginevyo uzushi wako tu sukuma gang!
 
Back
Top Bottom