Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.

Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini?

Ndugai amehudumu kama spika kwenye serikali ya awamu ya tano na suala la mikopo lilikuwepo lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau .kwa nini?

Nakubaliana na Rais Samia kwamba wengine wanamtamzama juu mpaka chini halafu wanamjaribu. Siku spika aliyejizulu aliyotoa hotuba iliyoonyesha rangi yake halisi kuna maneno alitamka yaliyoonesha nia na dhumuni la kuhoji mikopo ni 2025

Kitendo cha kusema " mtaamua wengewe 2025 muendelee na hawa wanaokopa kopa au mchague wengine ..." si ya kiuongozi ikizingatiwa spika ŋdugai ana 'platforms' nyingi za kupeleka ujumbe kwa mamlaka husika na ukafika haraka.

Lakini kilichompa msukumo wa kusema yale ni homa ya 2025. Tusidanganyane kuwa alikuwa na uzalendo huo. Ndugai ndiye aliyepigia debe ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake ungegharimu kiasi cha dola bilion 10 za kimarekani ambazo zote zingekuwa ni mkopo.

Zaidi ya yote ikumbukwe kwamba Rais wa JMT ni mtu anayepokea Taarifa nyingi za siri kutoka mamlaka na taasisi mbalimbali na vyanzo vya kuaminika. Naamini Taarifa anayokuja kuitoa ameifanyia tathmini ya na ni ya kuaminika na Rais kusema ni '2025 fever' ni taarifa ya kuaminika kabisa na hii imetokana na kauli ya Ndugai mwenyewe.

Badala ya kulaumu Rais anaenda kuua bunge ,je ni nini kazi ya bunge lisiloisaidia serikali kwenye maendeleo?

Tupate muda wa kuyajadili haya kwa upana huku tukiupa muda kuhukumu kwa haki wakati ukifika
 
Unaoongelea Rais yupi hakurupuki? Huyu aliyesema wenzake na Mbowe walishafungwa maisha kumbe walifutiwa kesi?? Au aliyesema Askari wa NIPA kaongea juzi kusifia gongo kumbe ni video ya mwaka 2014 na Askari alishashitakiwa kijeshi, matokeo ya maneno yake Askari kafikuzwa kazi?
 
Back
Top Bottom