Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,694
- 36,083
Habari!
Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika.
Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na population na ufinyu wa technology ila sasa idadi ya watu imekuwa kubwa, technology imekuwa kubwa. Hivyo unaweza kutaka kufanya kazi lakini hiyo kazi usipate.
Tunaoishi mjini tunalijua hili, mpaka kubeba tofali mpaka uunganishiwe vinginevyo utakula mchanga.
Zege nalo huwezi kulibeba bila mchongo, vyeti sasa bila mchongo hupati kazi. Imagine ajira za takukuru sijui ziko mia 340 ila waombaji walioitwa kwenye usajili wako 12000. Hapo piga hesabu makamishna wa mikoa na wilaya wana watoto, ndugu, kuna marafiki wa makamishna ambayo nao ni mabosi huko Police, TISS, MAGEREZA, JWTZ.
Bado kuna kulipa fadhili kwa waliokufadhili.
Je, utatoboa bila connection?
Kazi watu wanataka kufanya issue ni kuipata hiyo kazi.
Huu mstari unawahusu wasiotaka kufanya kazi sio wasiofanya kazi.