mtu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

    Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee. Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
  2. LUBEDE

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mke wa mtu

    Wakuu kwema? Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa. Jamaa yake saivi amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  6. pilato93

    JamiiForums Tanzania Ukienda na mtu bar usikubali aondoke na mtu usiyemjua

    Habari ya muda huu wakuu. Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means. Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
  7. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

    Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi Sifa Awe mwanamke Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza) Awe ndani ya Dar es Salaam Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+ Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi Hit my inbox
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!! Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
  9. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye matokeo haya form four utamshauri asome nini?

    Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance. Civics- C Geography- C History- C Kiswahili- B English-C Biology-C Chemistry-C Physics- F Maths-D. Yeye anapenda kwenda chuo kozi za sayansi. Je ni kozi gani anaweza chaguliwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpigaji anaposhangilia baada ya kumpiga mtu

  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwili haujaoza miaka sita tangu ulipozikwa, mama mtu alikuwa akiota mwanaye yupo hai

    Julia Petta alifariki mwaka 1921, baada ya hapo alizikwa kwenye Makaburi ya Mount Carmel yaliyopo Chicago nchini Marekani. Alizikwa akiwa na gauni lake la harusi, inadaiwa kuwa mara baada ya msiba huo, mama wa marehemu, Filomena alianza kuota ndoto akiona Petta anamwambia kuwa yeye (Petta)...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumuwekea mtu dhamana kwa kutumia Mali(mfano hati ya kiwanja), mahakamani ukoje?

    Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu? Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuache lawama! Kila mtu hupokea kulingana na Mchango wake katika jamii

    Kumekuchwa! Ukitoa Mia utapokea Mia. Ukilima mahindi bila Shaka utavuna mahindi! Maisha ni mfano wa kioo, ukicheka yanacheka ukinuna yananuna! Taikon siku zote atasema ukweli hata Kama unauma, ukweli ni ukweli tuu. Hili la Profesa Jay kuchangiwa limezua minong'ono kwenye jamii, hata hivyo hii...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu hukinai kitu kadri anavyoendelea kukitumia

    LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY Kiufupi hii law inaelezea ukinai wa kitu unavyotokea. Kadri mtu anavyokitumia kile kitu kinamfanya akichoke na asikitamani tena. Hii law inaendana na law of diminishing marginal return, tofauti ni kwamba ya marginal return inaelezea upande wa productivity...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
  17. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kwanini nzi wanamjia mtu mgongoni?

    Naongelea hususani wakati wa asubuhi, kwa wale ambao wametokea uswazi mnanielewa kukiwa na umande umande unaamka zako asubuhi sana unaenda shambani au shuleni maybe, basi unashangaa huko nyuma mgongoni wajumbe nzi kibao wamekuganda kila kona unayoingia. Enzi hizo tulikuwa tukitaniana kuwa ni...
  18. dungune

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuzaa na mke wa mtu?

    Habari Wakuu, Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na unatakiwa kufata utaratibu gani kumchukua mtoto anapo fikisha umri wa kulelewa na baba. Hii imenitokea...
  19. LOTH HEMA

    JamiiForums Tanzania Mtu anapoitwa jina la kabila lake

    Imekuwa kawainda mtu fulani kuitwa jina la kabila lake au sehemu anayotoka na jina hilo kumkaa na kukubalika katika jamii anamoishi ugenini kufanya shughuli zake. Majina ambayo yamekuwa maarufu sana utasikia mtu akiitwa muha, mchaga na mpemba, akiwa na duka panaitwa kwa muha, kwa mchaga na kwa...
  20. Camp Lehigh

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
Back
Top Bottom