Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,467
- 3,381
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo katika nchi yetu
3. Ili nchi yetu tupate maendeleo ya dhati, nashawishika kusema, hata mgombea wa uraisi wananchi ndio watoe mapendekezo ya nani wanafikiri anaweza kupeperusha Bendera kutoka kwenye vyama vyao, hii itasaidia kuondoa hira za watu wachapa kazi!
Sifahamu njia bora itakayotumika kwa urahisi kufanyika hilo,
Watu wote wenye ndoto kubwa na Tanzania huwa wanaishia kufukuzwa chama, ama kufanyiwa mizengwe ili tu wasifikie huko, hasa wenye misimamo ya kweli isiyo yumba kuhusu ukweli wa haki za wananchi
Ndiyo, Tumekuwa na mawaziri wengi, ila Mh Lukuvi amekuwa zaidi ya waziri
Mh Lukuvu, popote ulipo, watanzania wanajua, dunia inajuwa kwamba wewe, ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo Mkubwa wa kuchapa kazi na kusimamia kwa nguvu zote haki za wananchi
Wayahudi wakamuuliza Herode, Kwa nini umeamlisha Msalabani kuandikwe, Huyu ndiye mfalme wa wayahudi,?
Herode akasema, Lililoandikwa limeandikwa!
Mh Lukuvu, Kilichoandikwa juu yako, hakitajarisha chichote katika safari yako,Ni sharti kitimie, Mungu akubariki kwa kazi yako njema na kubwa sana kwa nchi yako unayoipenda kwa moyo wako wote!!
Nakupenda Tanzania nitakulinda kwa nguvu zangu zote!