Nakuja ifuatavyoooo...
Nasema tena kwenye haya maisha usije mdharau mtu,nakumbuka kipindi tukiwa wa dogo, msimu wa kufunga shule kwa ajili ya likizo ya December wazazi walikuwa wanatupeleka moshi kwa ajili ya kula Christmas maeneo ya machame, sasa kipindi hicho tukiwa huko machame kijijini...