Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
1690538734663.jpg
Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010.

Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo!

Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1 Roadster kutoka kwa baba yake likiwa jipya kabisa brand new - ikiwa ni zawadi yake kwenye siku yake ya mahafali ya kumaliza chuo 1928.

Aliendesha gari hilo tu hadi alipopatwa na umauti mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 102. Allen ni mtu mzee zaidi, aliyekuwa akiishi, ambaye alikuwa anamiliki gari la zamani ambalo bado linatumika na likiwa kwenye hali nzuri sana.

Baada ya kifo chake gari hii ilienda kuhifadhiwa kwenye jumba la makumbusho la Springfield Museum.

Gari lina rekodi ya kutembea maili 1,070,000 . Ikiwa ni wastani wa maili 13,048 kwa mwaka. Maili, 1,087 kwa mwezi.

Hadi sasa gari iko vizuri na imara kama Swiss watch, ina ukimya wa hali ya juu sana ikiwashwa, gia zote zinafanya kazi vizuri sana, ndani linamwonekano mzuri sanadead silent at any speed and was in perfect, (cosmetic condition)hata baada ya miaka 82 ya matumizi yake.
 
View attachment 2701324Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010.

Amazing.

Old is gold.
 
Baiskeli yangu, huu ni mwaka wa 20 tangu mama yangu anipe kama zawadi baada ya kufaulu kuingia kidato cha kwanza.

Asante sana mama yangu.
 
View attachment 2701324Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010.

Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo!

Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1 Roadster kutoka kwa baba yake likiwa jipya kabisa brand new - ikiwa ni zawadi yake kwenye siku yake ya mahafali ya kumaliza chuo 1928.

Aliendesha gari hilo tu hadi alipopatwa na umauti mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 102. Allen ni mtu mzee zaidi, aliyekuwa akiishi, ambaye alikuwa anamiliki gari la zamani ambalo bado linatumika na likiwa kwenye hali nzuri sana.

Baada ya kifo chake gari hii ilienda kuhifadhiwa kwenye jumba la makumbusho la Springfield Museum.

Gari lina rekodi ya kutembea maili 1,070,000 . Ikiwa ni wastani wa maili 13,048 kwa mwaka. Maili, 1,087 kwa mwezi.

Hadi sasa gari iko vizuri na imara kama Swiss watch, ina ukimya wa hali ya juu sana ikiwashwa, gia zote zinafanya kazi vizuri sana, ndani linamwonekano mzuri sanadead silent at any speed and was in perfect, (cosmetic condition)hata baada ya miaka 82 ya matumizi yake.
Niko mwaka wa 8 sasa, lazima nivunje hii record
 
Hakijaandikwa kitabu kinachohusiana na maisha yake? Alikuwa na umakini unaofaa kuigwa.
 
Back
Top Bottom