Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,096
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.

Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.

Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi

Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.

Mbalance shobo na wake za watu.
 
_20231130_104357.JPG
 
Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.
The fear of unknown.

Mkuu tatizo la vijana wengi ni kuamini WANAWAKE HAWAJUI WANACHOKIFANYA.

Vijana acheni kujipa sababu za kuhalalisha UMALAYA wao, Ukiona MKEO amesaidiwa na mtu kisha akaachia Uchi. Basi ujue ulioa Malaya tokea awali. Swala la Mkeo kuliwa nje halina uhusiano wowote na wewe wala aliyemsaidia. Ni yeye na Umalaya wake FULL STOP.

Hakuna sababu yeyote ya MSINGI ambayo itafanya mke achepuke tofauti na UMALAYA wake mwenyewe.
Always focus na issues zako za msingi kupambania future yako usije kuishi kwa mateso uzeeni.

Be a Man.
 
Wacha watu walane tu
 
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.

Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.

Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi

Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.

Mbalance shobo na wake za watu.
𝐀𝐢𝐬𝐞𝐞😊
 
Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.

Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
Care ikizidi ndio mnajisahau na kuanza kuitana Ma-Babe.

Note. Hakuna anaetoa Care Burebure
 
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.

Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.

Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi

Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.

Mbalance shobo na wake za watu.
Na kwa mume wa mtu wafanyaje?
 
Back
Top Bottom