Hivi mtu unafelije somo la hesabu? Zero brain kabisa wanafunzi wa siku hizi

Status
Not open for further replies.

Amie whitney

Member
May 21, 2023
78
183
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi.

Akitangaza matokeo hayo mbele ya wanahabari katika ofisi za Baraza hilo, jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta, Dkt. Said Mohamed amesema mbali na matokeo hayo ufaulu wa somo la Hesabu umeshuka kwa asilimia 4.46 ikilinganishwa na mwaka jana.

#Azammedia ikizungumza na baadhi ya wahitimu na walimu kwa nyakati tofauti wametaja miongoni mwa sababu za hofu ya mitihani na baadhi kutojiandaa vyema kwaajili ya mitihani hiyo kuwa sehemu iliyochangia matokeo hayo.

Aidha kwa upande wa walimu, wamesema bado wanafunzi wamejengewa hofu na uoga kuhusu somo la Hisabati kuwa ni gumu na kupelekea kushindwa kufanya vizuri.

Imeandaliwa na kuhaririwa na @official_jennifersumi

#watahiniwa #barazalamitihani #somolahisabati #walimu
 
Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi.
Umri wa John ni sawa na robo ya umri wa Babu yake ukijumlisha na umri wa dada yake, ikiwa umri wa Baba yake ni sawa na Nusu ya umri wa Babu yake,

Swali:

i/ Tafuta umri wa John
ii/ Tafuta umri wa Babu yake John

Fanya chapu, hili ni swali la darasa la sita sio la 7
 
Wakati nasoma nilikuwa mweupe kwenye somo hilo Mungu ni mwema kumbe kwenye kuhesabu idadi ya noti mtaani hali-apply.

Jamaa yangu mmoja alikuwa ananifariji kusema ”watu wote tujue hesabu tunataka kugundua nini kipya dunia hii?”
 
Kis
Wahili mkuu kwa sababu primary nimesoma st.marry kongowe,secondary st.anne mbezi,advance st.gasper na chuo nimesoma nadhareen university
Mliopanda vihaisi vya njano na elimu zenu za daddy mummy oh gosh wote hii huwa kawaida yenu kuwashusha waliosoma mmakodhani hakuna elimu.

Rudi mtaani kwenye really game tuone nani mbishi wa mtaa.
 
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi.

Akitangaza matokeo hayo mbele ya wanahabari katika ofisi za Baraza hilo, jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta, Dkt. Said Mohamed amesema mbali na matokeo hayo ufaulu wa somo la Hesabu umeshuka kwa asilimia 4.46 ikilinganishwa na mwaka jana.

#Azammedia ikizungumza na baadhi ya wahitimu na walimu kwa nyakati tofauti wametaja miongoni mwa sababu za hofu ya mitihani na baadhi kutojiandaa vyema kwaajili ya mitihani hiyo kuwa sehemu iliyochangia matokeo hayo.

Aidha kwa upande wa walimu, wamesema bado wanafunzi wamejengewa hofu na uoga kuhusu somo la Hisabati kuwa ni gumu na kupelekea kushindwa kufanya vizuri.

Imeandaliwa na kuhaririwa na @official_jennifersumi

#watahiniwa #barazalamitihani #somolahisabati #walimu
Umegundua nini na hiyo A ya hesabu yako kuwashawishi hao watoto
 
Tuache kutengeneza stori nyiiingi hili somo ni gumu mno...Hilo halipingiki kabisa
 
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu,
Ni muda mrefu zaidi ya miaka 25 toka nimalize darasa la saba ila nina uhakika hata leo hii ukinipa mtihani wa Taifa wa Hisabati darasa la saba napata A.

Tena kwa mitihani ya miaka ya sasa majibu ya kuchagua na maswali mepesi ndio kabisa. Enzi zetu kipindi tunakutana Tuition na mitihani ya ujirani mwema kupata A haikuwa ishu ni jambo la kawaida kabisa.
Tulikuwa tugombania kupata maswali yote 50 ambayo tulikuwa tunaita Fisi 50/50.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom