mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Assume una mtoto wako mzuri tu. Ipi afadhali atembee na mtu mzima ama atembee na rika lake?

    Yaani una binti yako mtoto mzuri tu mashallah. Kwa nyakati hizi, kuliwa ataliwa tu kabla ya chuo. Swala ni bora nani amle? Aliwe na mtu mzima mwenye ofisi yake na maisha yake ili amkuze na kumlea vizuri au aliwe na dereva bodaboda' wa rika lake, ama mwenzie anayesoma naye kwenye risk kubwa ya...
  2. Shinyanga: Waliomnywesha bia mtoto wa miaka 3 mbaroni

    WATU watatu wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kumpeleka mtoto wa miaka mitatu baa na kumywesha bia huku wakimchukua video na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP, Debora...
  3. Ukiwa na tabia ya kujifananisha na watu, jua mtoto wako hatofanana nawewe

    Ukiwa na tabia ya kuiga muonekano wa mtu fulani, au muondoko wa mtu fulani, au kuiga kuzungumza kama mtu fulani, au kuiga mapozi yake ikiwemo kuiga kucheka kwake, kukasirika kwake, kufoka kwake nakadhalika. Haswa ikiwa ni mtu ambae hauna nae nasaba moja (yaani sio ndugu yako kwa vyovyote vile)...
  4. M

    Ushauri wa kisheria wa jinsi ya kumchukua mtoto baada ya kutokuwa na maelewano na mzazi mwenzangu

    Habari za mchana wote! Kuna kaka yangu mmoja tunaheshimiana sana naye , Ana mke wake sasa ndoa imemshinda anataka kumchukua mtoto kutokana na kwamba Hana mahusiano mazuri na huyu mke mke anaishi mwanza na yeye yupo Dodoma. Lakini mtoto alimpata baada ya kuwa kwenye mahusiano na huyo dada akiwa...
  5. Wewe ungekua mzazi wa huyu mtoto ungemfanyaje?

    Jamaa amewaka kama mbogo baada ya kutumia maelfu ya Dollar kwa ada ya mtoto halafu matokeo yakawa haya. Ona mzazi alivyowaka. Mimi binafsi namng'oa meno.
  6. Uingereza: Nesi mjamzito afariki kwa #covid19 mtoto aokolewa

    Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa mtoto kwa kuwa hali ya Mary ilikuwa inazidi kuwa mbaya Mary alikutwa na...
  7. K

    Naomba ufafanuzi katika hili la mtoto kunywa juice ya nanasi na kutoa jasho jingi

    Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine. Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari kadhaa zikiwemo vifo na makatazo ya kujumuika katika shughuli mbalimbali za mikusanyiko. Zaidi kwa ili...
  8. Kenya: 11 zaidi wagundulika na #covid19 akiwemo mtoto wa mwaka mmoja

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208 Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674 zimechunguzwa kwa masaa 24 yaliyopita Wanne kati ya hao waliokutwa na #Covid_19 wanahistoria ya...
  9. Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 ana tatizo la kutokupata haja kubwa. Tatizo hilo limeanza juzi, leo ni siku ya pili bila kupata haja. Ana joto la kawaida ila leo amebaki analialia tu. Nimekwenda zahanati wananiambia hana tatizo...
  10. A

    Mtoto wa tajiri wa pili duniani 01

    "Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John tajiri mkubwa duniani kwa kuondokew na mke wake àliyefarik kwa ajali ya ndege(private plane) huku...
  11. Kutenguliwa kwa laana iliyotolewa kwa mtoto wa kike

    Leo nimeshuhudia namna laana inavyo tenguliwa kwa mtoto wa Kike, mfano mtoto wa kike kuna maneno yaliyo nenwa kwa ajili yake akiwa msichana mdogo au mkubwa lakini anapoolewa ndoa yake inakuwa na misukosuko matatizo na mengi ambayo yanamfanya akate tamaa au mwenza atamani kumuua au kumfukuza...
  12. O

    Naomba kujuzwa dawa ya sanza kwa mtoto

    Nahitaji dawa ya mtoto kutoka mfereji kichwani (nzasa).
  13. Y

    utamjibuje mtoto akikuuliza hivi???

    natumai hamjambo. wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje?? #mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako? #baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako?? tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
  14. Daudi Bashite akipokea taarifa za ugonjwa wa mtoto wa Mbowe

  15. Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  16. RC Paul Makonda: Mbowe ameahirisha mikutano ya CHADEMA baada ya mwanaye kuambukizwa Corona

    Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona. Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa. Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
  17. Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

    Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10. Maambukizi hayo yanaifanya Rwanda kuwa na idadi ya visa 17 vya maambukizi ya virusi vya corona. Walipatikana na maambukizi hayo wote walikua wametoka katika...
  18. Wanyakyusa bana kila mtoto anayezaliwa now anaitwa Mwacorona

    Siwaweziii mashemejii zangu, mna ubunifuu hatareee.
  19. Mpe mtoto au mbwa jina baya limharibu/ Give a child or a dog a bad name and spoil it

    Hakika Chadema inateseka kutokana na kaulimbiu na tambulisho inazotumia! Makamandaa kunja kunja kunja ngumi! Bado sijaona/sijasikia! piiipoooz, pawa! Sasa ni NO HATE NO FEAR! Ni majina mabaya ambayo baba "mwamba" anayafyatua kadri atakavyo bila kuwaza vyema! Tatizo hili liliwahi kuikumba CUF...
  20. Msaada mtoto wangu anakohoa sana

    Mtoto wangu ana miaka5 ana tatizo la kukohoa hasa usiku lakini cha ajabu mchana hakohoi.nimejaribu kumpa dawa kama mucolyne lakini imedunda nimejaribu kumpa zecuf nayo hazina msaada nikawaza labda ni kile wanaita kimeo nikaenda kumkata lakini bado imeshindikana bado anakohoa sana..sijui shida ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…