Mtoto wa tajiri wa pili duniani 01

Abushiry

Member
Apr 2, 2020
91
74
"Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John tajiri mkubwa duniani kwa kuondokew na mke wake àliyefarik kwa ajali ya ndege(private plane) huku akimuacha mtot m1 aitwae manavy miaka 26,,Mr John alkua mzungu kutokea U.S.A lakin marehem(mke wake) alkua mtu kutoka India...
Baada ya msiba ulioudhuriwa na watu wa kila Aina matajiri wakubwa duniani,basi kila familiar zilijitawanya na kuanza safari ya kurudi walikotokea huku manavy na babake mzee John wakibaki pale nyumbani mji wa Chicago nchini marekani..."manavy!,manavy" alikua Mr John akimuita mwanae."naam baba", manavy aliitikia with
Mr John:mwanangu najua umeshakua mtu mzma sas,na nyumbani tumebaki wenyewe Kama uonavyo,,na unaelew kila kiendeleacho hvi sas
Manavy:ndio baba situation ote naiona Ilvo hvi Sasa
Mr John:eek:k,Kuna kitu cha siri nahitaji nikwambie mwanangu sjakuambia kitu hki toka umezaliwa,,nahitaji nikuweke waz Leo hii..
(Manavy kwa pupa na mshangao)kitu gan!!? Ehh niambie baba!! N nn??
Je,Nini kitaendelea,,Mr John anataka kumwambia nin mwanae,,uskose sehemu ya pili ya simulizi hii.maoni yako mpendwa unakaribishwa kukoment
 
Jf ya sasa sio kama ya zamani.

Yaani hii hata sio thread, ni comment. Inhekuwa mtihani wa darasa la 4 kiswahili, hii ni sehemu A kuchagua jibu sahihi. Na haujakamilisha maswali yote
 
Hu
Jf ya sasa sio kama ya zamani.

Yaani hii hata sio thread, ni comment. Inhekuwa mtihani wa darasa la 4 kiswahili, hii ni sehemu A kuchagua jibu sahihi. Na haujakamilisha maswali yote
Huo mwanzo mkuu,,an introduction kiongoz
 
Back
Top Bottom