mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Una mtoto wa kike... Kakijana/Zee la nyeti linamsumbua na unamsomesha. Adhabu gani utatoa?

    Mimi nawaza nina mtoto wa kike...itokee Kijana au Mtu Mzima flani anamsumbua binti yangu kimapenzi. Ntakapomkamata jamaa na ushahidi. Ntamfunga mikono na pingu au kamba imara sana...ye si kidume?naweka mapumbu yake kwenye jiwe naaanza yaponda ponda na nyundo mpaka zile balls mle ndani ziwe uji...
  2. Heater

    JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

    Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Daktari aeleza athari za sigara, pombe kwa watoto, wajawazito

    Daktari bingwa wa watoto kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Fransis Furia, amesema watoto wanaokaa na watu wanaotumia bidhaa za tumbaku kama sigara wako hatarini kupata saratani. Dk. Furia pia alisema kuna madhara makubwa kwa mtoto aliyeko tumboni endapo mama...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mama achagua umasikini, Mtoto kachagua kujiua

    MAMA ACHAGUA UMASIKINI, MTOTO ACHAGUA KIFO Na, Robert Heriel Tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Katavi ambapo Mtoto amejiua kwa kujinyonga kisa na Mkasa ni mgogoro baina yake na Mama yake mzazi. Mtoto anashauri Mama aiache CCM na ahamie CHADEMA kwa madai kuwa CCM haijamsaidia chochote...
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Katavi: Kijana ajiua baada ya Mama yake kukataa kujiunga CHADEMA

    Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM Chuki za KISIASA na UHASAMA baina ya mama na mtoto umepelekea kifo Najaribu kujiuliza huyu mama yake mzazi atatoa machozi msibani? Najaribu kujiuliza CCM TAIFA au CCM Mpanda watampelekea...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Njoo utoe mbinu za kumsaidia mtoto awahi kuacha kujisaidia haja kubwa/kujikojolea

    Inasemekana mtoto kumvalisha pampasi muda mwingi ni kufanya zuzu alijitambue mapema hasa katika kitengo cha kujinyea na kujikojolea. Ushauri ufanyeje: 1: Mnunulie vijaptula vingi (wa kiume) akiwa anajikojolea au anajinyea ilekero itamfanya kisaikolojia aanze kujipanga. Ukimsafisha mvalishe...
  7. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga kuharisha kijani yenye kamasi mara tu baada ya kunyonya

    Habari ndugu zanguni, Ninaomba msaada mtoto wangu ana umri miez 4 Lakini kila akinyonya tu baada ya kumaliza anaharisha choo cha kijani chenye kamasi sana nilimpeleka kwa tabibu nikapewa septrin lkn naona tatizo linaendelea wengine wanasema meno wengine kukaa sasa sielewi ila hachemki wala hana...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Malezi ya Watoto Njiti: Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto

    Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ajabu; Mtoto azaliwa bila ubongo!

    Mkazi wa Kijiji cha Mlowo mkoani Songwe, Loveness Kweka (25), amejifungua mtoto wa kiume asiye na ubongo na mfupa wa juu wa kichwa. Mtoto huyo amezaliwa wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Mkoa wa Songwe mjini Vwawa. Akizungumza na HabariLEO kwa simu, Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk...
  10. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli unaweza kujua mtoto wa kiume au wa kike huko mbeleni atakuja kuwa na matatizo ya kutoweza kuzalisha au kuzaa

    Umofia kwenu Sikumbuki niliwahi kusikia yawezekana mtoto ktk umri fulani yawezekana mzazi au mlezi ukaona vitu au viashiria flani kwamba huyu mtoto ukubwani mwake hatakua na uwezo wa kuzalisha au kuzaa. Je, hii ina ukweli wowote? Na kama ni kweli nini hivyo viashiria au vithibitisho? Mungu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, "mtoto wa Nyoka ni Nyoka"

    "MTOTO WA NYOKA NI NYOKA" Na, Robert Heriel Panya huzaa panya Paka huzaa paka Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye Yesu wa Nazareth akasema; huwezi chuma tini kwenye zabibu" Hii ni kusema, muembe huzaa maembe...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu? (1)...
  13. B

    JamiiForums Tanzania USAID wafadhili afya ya mama na mtoto Njombe

    22 September 2020 Njombe, Tanzania Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania. Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 MDAHALO: Mtoto amelilia wembe, CCM mpeni

    Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga. Huyu Lissu analilia mdahalo na mtukufu Rais, asizubaishwe. Kwa kuwa mdahalo ni kipimo bora cha wagombea na kwa kuwa mdahalo utaonesha kiwango na ubora wa maono waliyonayo wagombea kupitia sera watakazozielezea na...
  15. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama una mtoto Sekondari na unataka asome hadi Chuo Kikuu na huna uwezo kumlipia, linganisha sera uchague sahihi usije baadaye kujilaumu

    Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao. "Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

    Habari wana JF,, Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu. Laiti kungekua na selo za watoto...
  17. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

    Habari zenu wana MMU nawasalimu Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote. Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Singida: Jela miaka 30 kumbaka mtoto wake wa kumzaa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Mtaa wa Kimpungua, Manispaa ya Singida, Hamisi Mtanda (37) kwa kosa la ubakaji. Mtanda amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama kumtia hatiani kwa kosa la kufanya mapenzi na mtoto wake wa kike, mwenye...
Back
Top Bottom