Kutenguliwa kwa laana iliyotolewa kwa mtoto wa kike

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Leo nimeshuhudia namna laana inavyo tenguliwa kwa mtoto wa Kike, mfano mtoto wa kike kuna maneno yaliyo nenwa kwa ajili yake akiwa msichana mdogo au mkubwa lakini anapoolewa ndoa yake inakuwa na misukosuko matatizo na mengi ambayo yanamfanya akate tamaa au mwenza atamani kumuua au kumfukuza waachane, utakuta kuna maneno mtoto wa kike alinenewa yakawa ndio yanamsumbua sana na hufikia hatua mtu haelewi kwanini haya ndio maswali humkuta.

Tuache kwanza sababu zingine za kawaida za migogoro maishani au kwenye ndoa au kwenye mahusiano tuzungumzie hili kama ndio litakuwa sababisho.

leo nimepata fursa ya kuhudhuria kikao cha familia chenye makusudi ya kutatuo mgogoro wa ndoa ndipo mama wa mtoto wa kike akadhibitisha kuwa kuna maneno aliwahi mnenea binti yake akiwa mdogo na huenda ndio yanayo msumbua hadi sasa, mama huyo alichukua mikaa 7. (ITAENDELEA)...
 
Hivi mkiweka hii "ITAENDELEA" huwa mnalipwa na JF? Mada mada Kama hii haina umuhimu wa kuweka episodes.
 
Hili naona huwa linatumika hata kwa wasichana ambao wamekutana na misukosuko huku wakiwa wameshindwa kuelewa kwanini haya na yale maana wengine huwa wanasahau kama waliwahi nenewa na mama zao au watu wakaribu ambao wana uwezo wa kutoa laana na ikamkuta mtu. alisema mama mweye mtoto
 
Mbona mkifanikiwa hamtafuti watu waliowanenea mema? Changamoto zipo tu, chapa kazi, achana na imani potofu.
 
Back
Top Bottom