mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani?

    Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha. Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa. Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

    Nazani mtaniunga mkono kwa maana;- Kuna mwaka fulani nikiwa bado KCMC nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi. Kuna mwanamke mmoja (jina kapuni) nilifanikiwaga kumfanyia operation baada ya kushindwa kuzaa normal basi akazinduka...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa na Kaka/Dada humlinda Mtoto na hali ya kujihisi upweke, kutopendwa, kutojitambua na kuogopa

    Profesa. Laura Padilla kutoka Chuo Kikuu cha Birgham anasema kuwa na Ndugu humlinda Mtoto na hali ya kujihisi upweke, kutopendwa, kutojitambua na kuogopa. Hii haijalishi kama Dada/Kaka wa Mtoto husika ni mkubwa kiumri au mdogo kwake. Japo Wazazi wengi huhofia Ugomvi unaojitokeza kati ya Watoto...
  4. JamiiForums Tanzania KILIMANJARO: Moto uliowashwa na mama waua mtoto

    Kijana mwenye ulemavu wa miguu, Melchedek Lyimo (28), amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi na mama yake mzazi kuteketea kwa moto uliowashwa na mama yake ili kuua siafu. Tukio hilo ambalo limeacha simanzi na majonzi makubwa katika Kijiji cha Kyou wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mshamu (Mtoto wa Jangala) yuko wapi sasa hivi na jina lake halisi

    Vijana wa zamani kama mnakumbuka miaka ya mwishoni 80. Kulikuwa na mchezo wa kuigiza wa redio RTD kila jumapili usiku yani watu hawakosi ikifika tu saa mbili usiku jumapili watu wameshajikusanya karibu na redio. Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na kibuku. Mzee Jangala alikuwa maarufu sana na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Mtoto kuzaliwa Njiti

    Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani. Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
  7. JamiiForums Tanzania JamiiForums na Doris Foundation waungana kumpambania mtoto njiti (+picha)

    Taasisi ya Kiraia ya JamiiForums pamoja na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia mkataba wa makubaliano wa kupeleka ujumbe sahihi kwa wananchi kuhusiana na watoto wanaoizaliwa kabla ya wakati (njiti). Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi na Mhasisi wa Doris Mollel Foundation Doris...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Malezi: Mambo 20 ambayo hutakiwi kumwambia mtoto wako

    Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu. Kwa hakika maneno yanaweza kujenga au kubomoa maisha ya mtoto kwa kiasi kikubwa. Hivyo fahamu maneno 20 ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu Jade Goody sasa ni mwanamitindo

    Wakati wa uhai wake Jade alibahatika kupata watoto wawili na mtangazaji wa TV Jeff Brazier. Mtoto wao wa kwanza Bobby Brazier ni mwana mitindo sasa. Jade alifariki kwa cancer ya uzazi ambayo kwa sasa imepatiwa chanjo kwa wasichana kuanzia miaka 12.
  12. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumfanya mtoto ajiamini (awe na confidence)?

    Wakuu ambao ni walezi na mna uzoefu, hivi ni mbinu gani mtu unaweza kutumia kumjengea mtoto kujiamini mwenye umri wa miaka 5?
  13. JamiiForums Tanzania Ni vema mtoto wa Kitanzania asome masomo yatakayomwongoza kufanya kazi aipendayo hapo baadaye

    Basi kama sirikali kweli inataka kusaidia taifa a kesho kurudisha hadhi ya Mtanzania kuw mzalendo na nchi yake basi pasipo na shaka lazima tuwe watu waku make opportunity kulingana na mazingira yetu. Basi nimekutuna na mzungu fulani nikiwa natoka kusoma, ana furaha na kazi yake ya udereva wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

    Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto huyo. Kutokana na kushuka kwa mapato ya Mel B, ameamua kufanya majadiliano mapya ili Mr Murphy...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi sita hajaanza kusimama!

    Wakuu habarini! Naomba mnijuze, huyu mtoto ana miezi sita hajaanza kutambaa! Kinachonishangaza ni kuwa anajitahidi kutaka kusimama! Akijishikilia na kitu chochote basi anajitahidi asimame! Je hii ni jambo la kawaida!?
  16. JamiiForums Tanzania LOOK ALIKE CHALLENGE: Sonia mtoto wa Monalissa Yvonne Cherrie na Zamaradi Mketema ni kama mama na binti yake

    Habari zenu wakuu wa humu jamiiforums Picha hapo chini ni mwana mama Zamaradi Mketema (Kushoto) pamoja na Sonia binti wa Monalissa Cherrie (Kulia). NB: Mimi Infantry Soldier sio msomaji sana wa jukwaa hili la JF celebritites wala mtazamaji wa mara kwa mara wa movies zote kwa ujumla ila...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

    Habari wa JF Nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua hospitali nzuri kwa kutahiri watoto anijuze
  18. JamiiForums Tanzania AFYA: Jinsi ya kumsaidia mtoto wako aweze kutambaa

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu. Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao? Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
  20. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Vijana 2 chini ya miaka 18 mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miaka 6 kwa zamu

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…