Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Manyara!
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Silaloda Mji wa Mbulu, Harold Hhando, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa kaka yake, Emmanuela Hando (13), kisha kumtoa viungo vya mwili.
Inadaiwa kuwa Hhando alimuua mtoto huyo wa Kaka yake kwa kumpasua katikati ya miguu...
Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu..
Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea...
Habari ya jumatatu wandugu.
Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu
Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda
Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu
Na Mungu atubariki🙏
Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake.
Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka.
Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
Habari wandugu!
Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la!
Nina hofu sana jamani.
Habari waungwana,
Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.
Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe.
Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa upande mmoja pindi unapokua bado kichanga? Na je, kuna njia yoyote inayoweza kutumika kurudisha shape ya...
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla.
Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali.
Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
Hali ya sintofahamu imeikumba familia ya Mayenga Nigonzala, mkazi wa kijiji cha Kidinda Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu baada ya mkewe, Zawadi Sayi kuelezwa kujifungua mtoto mmoja, licha ya vipimo na maelezo ya awali ya madaktari kuonyesha alikuwa na ujauzito wa pacha.
Sintofahamu hiyo...
Wakuu naomba kuuliza hili swali?
Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea
Iko hivi wakuu
Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi anakichukulia ni duni au si kipaumbele chake.
Chukulia mfano mtoto aliyemaliza form four na akafahulu...
Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi
Ari Mpya
Kasi Mpya
Nguvu Mpya
Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim
Au siyo Babu Ayubu
Hilo liko wazi
Jamani vijana wapewe nafasi
Si ndio sisi-M
Si ndio sisi-M
Si ndio sisi-M
Ah pisha njia
Tunaingia
Wote pisha njia
Nasema tena kwamba si...
MWANAMKE mmoja Moshi Mkimbu (40) mkazi wa Kijiji cha Ndulungu Tarafa ya Ndago Wilaya ya Iramba mkoani Singida ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na mume wake aitwaye Juma Shabani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Kamishna Msaidizi (ACP) Stella Mutabihirwa akizungumza na waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.