mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

    Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka, Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

    Mtoto mwenye umri wa siku tatu, jinsia ya kike amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa ndani ya shimo la choo na mwanamke ambaye bado hajafahamika huku Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na msako mkali kumkamata mwanamke aliyefanya unyama huo. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
  5. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Kila saa pale Merekani mtoto hufa kwa jeraha la risasi By Chriss Brown

    "Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior" Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
  6. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mtoto wa miaka 14 amuua mtoto aliyekula ugali wake

    Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
  8. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma. Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani...
  9. Abie

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

    Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtoto akiishi sehemu hizi ni asilimia chache kuwa na tabia nzuri

    Watoto wanaozaliwa mazingira mfano * Uswahili Hizi sehemu ni tatizo kubwa kwa watoto wengi ambapo ukutana na makundi ya kila aina yenye tabia za ajabu kama wizi, madawa ya kulevya, mateja, wasio jielewa, wahuni na n.k mfano: Mburahati, Manzese, Tandika, Manzese, Nyiogo(Kahama) na maeneo mengi...
  13. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Usichokifahamu kuhusu haki na wajibu wa mtoto

    Mtoto ni binadamu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18. Katika suala lolote lile liwe la binafsi, taasisi, kimahakama au vyombo vingine vya maamuzi maslahi ya mtoto yatawekwa mbele kwanza. Baadhi ya watu katika jamii wamekuwa na uelewa finyu kuhusu haki na wajibu wa mtoto, katika jamii, kwa...
  14. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

    Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI. Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia, kutaka kunitawala. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha yaani niliondoka home kabisa nikaanza...
  15. Sisyphus

    JamiiForums Tanzania Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

    chocolate
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kila mtoto mwenye saratani anastahili fursa ya tiba

    Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye mazungumzo ambayo hakuona kumletea faida. “Baba Jafari, bei ni kubwa mno. Hizi ndizo pesa pekee tulizo...
  17. safuher

    JamiiForums Tanzania Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyakazi wa ndani mbaroni kwa tuhuma za kumuua mtoto wa bosi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Msaidizi wa kazi za ndani (House Girl) jina limehifadhiwa mwenye umri wa miaka (13) kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa miaka minne aliyejulikana kwa jina la Natalia Essau. Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo mtoto huyo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto Mdogo wa kiume alimuuliza Mama yake

    Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?" Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!" Sijakuelewa Mama. "Sijakuelewa Mama!?" Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa" Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...
Back
Top Bottom