Wafuatao ni role model wa mtoto wa Kitanzania

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Mtoto wakitanzania anapozaliwa na kukua wafuatao ndo role model wake
  • Diamond platnmuz
  • Zuchu
  • Harmonize
  • Maromboso
  • Rayvany
  • Mangekimambi
  • Chid benz
  • Hamisa mobeto
  • Paul makonda aliyeiba vyeti
  • Baba levo
  • Mwijaku
Hawa ndo watu ambao mtoto wa kitanzania anawasikia kwenye media kila mara mara kwa lugha nyingine ndo wanakua role model wake katika ukuaji kwa staili msitegemee kuwa na kizazi cha watu watakaofanya mambo ya maana
 
Kama mzazi sio role model #1 wa mtoto wake huo ni uzembe wa mzazi. Mtoto wako unataka alelewe na watu baki? Huo ni uzwazwa wa mzazi can't fault no one for that.
 
Back
Top Bottom