mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Mwijaku na mtoto wa Tajiri

  2. JamiiForums Tanzania Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi... Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake. 1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)? 2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe? 3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mama anafaa atambue kwamba kumnyonyesha mtoto ni jambo lenye kumpatia faida nyingi mtoto

    233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada. Hailazimishwi nafsi ila kwa iliwezalo. Asidhuriwe mzazi wa kike kwa ajili ya mwanawe, na wala mzazi wa kiume...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

    yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz. Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
  9. JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa) Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi.. Moral of the story: Vijana tafuteni...
  12. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  14. JamiiForums Tanzania Umetuma nauli baada ya dakika tano akwambie hawezi kuja mtoto wa dada ake amemeza sh. 50

    Kuna wanawake wabaya sana aisehh .
  15. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za Mtoto aliyekosa umakini au uhusiano Mzuri kutoka kwa Mzazi

    Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati: Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo Kuwa na Hasira za Haraka: Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake Anakuwa Sio Mtulivu: Mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Unakumbuka Mchezo gani ukiwa Mtoto?

    Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati. Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi Kingine bhana Niliwahi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

    Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  19. JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…