mtazamo

  1. Matukio Ep

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo halisi wa kimaisha

    Habari, Kwa Majina Naitwa Theophilus Gugaguga. Mbele ya macho yako ni Nakala Fupi tu Ambayo inalenga kubadilisha Maisha Yako kuelekea katika ukuu. Kaa Chonjo, ukifuatilia kila Neno la Mawazo haya. Maisha ya Binadamu yamejawa na simulizi Nyingi Sana za Kuchekesha, Kufurahisha, kuhuzunisha, na za...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanaogopa kujadili matatizo/changamoto za nchi yao kwa mtazamo wa kuwa watapotezwa?

    Anaandika, Robert Heriel Ni lini mtazamo huu utaondoka? Nani atauondoa? Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa moja serikali. Sio wazazi Sio Wake au watoto wetu, Sio Wasomi au wasiosoma Sio Mafukara na Wakwasi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  4. Costomino

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kupitia mtazamo chanya

    Je una tatizo? hilo ni jambojema!. Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini? Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako. Kila mmoja wetu ana matatizo ndo maana kila kitu katika ulimwengu kipo katika hali ya kubadilika.Kitu cha muhimu ni kwamba, mafanikio...
  5. Josephaty Jumapili

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo, uzio wa mafanikio

    "Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"! Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake. Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
  6. Impimpi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  7. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Jenga Mtazamo Sahihi Juu Ya Wanaume/Wanawake Kabla Hujaoa/Hujaolewa

    Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo yao isiyo sahihi, na wapo hawataki kuingia kwenye ndoa wamebaki kutangatanga na kila...
  8. Omari Frank

    JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya ukuaji kiuchumi kwa mtazamo na uzoefu wangu

    Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU. Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu hivyo basi ninaweza kuwa na jambo la kusema kwa wadau wa maendeleo na wanajamii Forums. Kimsingi...
  9. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Jinsi wasanii wa WCB wanavyoweza kunufaika na kazi zao

    Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao. Nimewahi kumsikia mkubwa fela pale wasafi fm alisema analipwa milion 40 kwa mwezi na mond ukiweka mbali mgao kutoka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

    Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia. Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Mabadiliko katika Mto Manjano na Mto Yangtze ya China katika muongo mmoja uliopita kwa mtazamo wa setilai

    INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo wa msamaha

    Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla. Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha. Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  15. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa kufia nchi yake na sio kuishi kwaajili ya nchi yake (to survive for his/her country). Na je akifa vitani...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:- Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10 Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa Wengi watakula keki ya taifa Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi Uchumi utakuwa kwa kasi n.k Watu waajiriwe...
  17. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi isije kuwa mzigo kwa umma kutokana na mtazamo wa Rais Samia

    Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 wanastahili kupata mserereko

    Haya ni maoni yangu binafsi kama tujuavyo mara baada ya Raisi magufuli kuingia madarakani haki MBALIMBALI za wafanyakazi ikiwemo nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilisimama, Na kupekelekea wafanyakazi wengi ikiwemo walioajiriwa mwaka 2014 kusota na mshahahara ule ule. Hatimaye...
  20. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Athari za Kuhamishwa Ngorongoro na Hatma ya Utalii

    Sasa wametolewa wamasai Ngorongoro na mmetangaza royal tour na Wamasai ambao walikuwa kivutio kikubwa mumewahamisha nakuwapeleka mbali sasa ile dola 30 ya kunufaika kwa serikali haitokuwepo. Katika ufumaji wa hereni, bangili, viatu vya kimasai. Tutawamiss na pia na vito vingi sana walikuwa...
Back
Top Bottom