Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?

2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa?

3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au kuwapa Uzushi na Umbea?

4. Kubadili mbinu kwani ukiendelea nayo taratibu unaweza ukawehuka na kuwa Chizi /Taahira kabisa?

5. Kujitathmini kwani yawezekana 'Followazi' wako unaodhani wanakukubali kumbe wakawa 'Wanakusanifu' tu?

6. Kukubali kuwa uwepo wake 'Madarakani' Rais Dkt. Magufuli ni Mapenzi ya Watanzania wenye Akili na Matakwa yake Mungu?

7. Kuomba nawe uweze Kujiunga ama katika Chama cha 'Adui' yako Rais Dkt. Magufuli au kama hutaki unywe tu Sumu ufie mbali?
 
Hili ni swali pia ni dongo kwa yule Erythrocyte ambae siku zote huonesha chuki zake za wazi wazi kwa raisi Dr Magufuli kana kwamba kumchukia kwake kutamsaidia kupata ugali wa kuwalisha wanae.

Kwa kifupi huyu dada anapoteza muda tu humu JF kwa kumchukia raisi na kumpigania mw/kiti Mbowe zaidi ya anavyopiganiwa na mkewe pamoja na familia yake kiujumla.

Alipoona mamb hayaendi vizuri ktk uchaguzi kupitia CDM akajivika jukumu la kuwa anaripoti kila mkutano wa mgombea uraisi, ubunge na udiwani, na matokeao yake yeye na hao aliokuwa anaripoti mikutano yao wameangukia pua. Namshauri aachane na siasa maana haimtaki na pia anaemchukia hachukiliki
 
Lakini ndio mpinzani wa kweli,tofauti na wengine,Angeshinda urais ingekuwa rejea katika fani mbalimbali za masomo yakiwemo mambo ya imani
 
1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?
Hakikisha umeandaa gari la kukukimbiza Kenya ukaombe ukimbizi bila kupitia mpaka rasmi kama Namanga!

Kuna watu hawana akili sawasaa hapa Tanzania, watakuua kwa kuwa tu umekosoa!
 
1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?

2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa?

3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au kuwapa Uzushi na Umbea?

4. Kubadili mbinu kwani ukiendelea nayo taratibu unaweza ukawehuka na kuwa Chizi /Taahira kabisa?

5. Kujitathmini kwani yawezekana 'Followazi' wako unaodhani wanakukubali kumbe wakawa 'Wanakusanifu' tu?

6. Kukubali kuwa uwepo wake 'Madarakani' Rais Dkt. Magufuli ni Mapenzi ya Watanzania wenye Akili na Matakwa yake Mungu?

7. Kuomba nawe uweze Kujiunga ama katika Chama cha 'Adui' yako Rais Dkt. Magufuli au kama hutaki unywe tu Sumu ufie mbali?
Hivi 'madongo' ya kabla ya uchaguzi yaliyokuwa yakirushwa kwa mheshimiwa mbona siyaoni siku hizi, au yamelowa na kuwa rojorojo na yakirushwa yanadondokea karibu tepe tepe yakiwa matope?

Watu sijui kwanini hushindwa kusoma alama za nyakati na kujifanya mabaunsa wa key board!
 
To look after number one, yaani kutafuta mapeni utunze familia na maendeleo yenu kimaisha...
 
1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?

2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa?

3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au kuwapa Uzushi na Umbea?

4. Kubadili mbinu kwani ukiendelea nayo taratibu unaweza ukawehuka na kuwa Chizi /Taahira kabisa?

5. Kujitathmini kwani yawezekana 'Followazi' wako unaodhani wanakukubali kumbe wakawa 'Wanakusanifu' tu?

6. Kukubali kuwa uwepo wake 'Madarakani' Rais Dkt. Magufuli ni Mapenzi ya Watanzania wenye Akili na Matakwa yake Mungu?

7. Kuomba nawe uweze Kujiunga ama katika Chama cha 'Adui' yako Rais Dkt. Magufuli au kama hutaki unywe tu Sumu ufie mbali?
Usikute huyu ni nabii Tito
 
sawa bi janeth wamekuckia
 
Hivyo Ehee
FB_IMG_1605002901152.jpg
 
Back
Top Bottom