Hivi ninaweza ku order prescription drug mtandaoni kutoka nje na nikaipokea kwa njia ya posta au ninahitaji kibari?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,043
Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine maana tunatest tu system ya kudeliver dawa tz kama zitafika salama.
 
Inakuwa Ngumu sababu huna Kibali cha kuorder dawa Toka nje lakini pia Ukija na dawa kutoka nje lazima hizo dawa zionekane hazipo kabisa bongo na utachukua dose ya siku chache tu sababu nyingine utazipata kwenye Destination kama zipo kama hazipo lazima uwe na kibali cha TFDA hasa kama ni dawa kiasi kikubwa. Hii ni kuzuia usafirishwaji wa madawa ya kulevya sababu mtu anaweza sema ni Amoxycilin kumbe ndani kuna Cocaine.
 
TFDA ishavunjwa saiz mamlaka ya dawa na mamlaka ya chakula vinajitegemea
 
Majuu nchi za maana hupewi dawa mpaka prescription ya doctor.
Hizo masuala za kusafirisha mm sina ujuzi.
 
Back
Top Bottom