Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu kuzindua kampeni zake za urais kwa njia ya mtandao kesho Jumanne jijini Mwanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,553
Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza.

Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya kidigitali kwahiyo wanachadema wote mnaombwa ushirikiano wenu.

Safari imeanza.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tutamfuatilia, kule CCM Membe Sijui Lini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom