Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
895
1,000
Atakua ni Rais wa kwanza kutawala nchi huku akiwa anaishi kwenye nchi nyingine. Arudi sasa Tanzania aje apambane na Swahiba wake Magufuli.
Tofauti ya marekani na sisi Ni rangi tu..kule yanafanywa na weupe na huku yanafanywa na weusi

Ngoja Mwamba aje uone!! Tunasubiria ugonjwa wa korona ukate tu,tunatia mguu maana kagonjwa haka mmekifanya kama silaha yetu.

Mtasikia marufuku msokamano, huku mkiwa nyumbani mnajifa ugonjwa kwisha.

Narudia nenda kwa mr kamwambie asema ugonjwa umeisha alafu utaona.
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,627
2,000
Wakuu nipo hapa Dodoma baada ya sherehe ya walimu na hotuba nzuri ya mh rais kwa walimu, nimekutana baadhi na wabunge wa chadema ambao ni kufa kupona wako na chama chao jua liwake mvua inyeshe wako imara na chama chao.

Wamenihakikishia kuwa walishajadili nani agombee na wakampitisha lisu katika kile kikao chao cha kutumia zoom na hawa wanaopitapita na kuchukua form kama kina msigwa ni kusherehesha kisiasa tu na wamenihakikishia wameamua wengi tu wachukue ili kuipa nguvu kuwa pamoja na lisu kuwa nje bado ananguvu chamani ya kuwapita wagombea wengine

Huko Twitter lisu amepost kuwa jmatu ataongea na watanzania hii ilipangwa pia kuwa lisu ndio mtu anayeweza kuwavuta wapiga kura pekeee maana walimisi wangependa kumsikia so atwavutia wajae kwenye mikutano

Pia sababu ya zito kumtolea macho lisu ili agombee kwao imemfanya apewe thamani na chadema kuwa wakimkataa atakwenda huko.


USSR

Screenshot_2020-06-05-15-20-23.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom