Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.

Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote.

Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
 
Kama kichwa cha habar apo juu kinavyonieleza, kuna offa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya ivo utambulia makato ya elf 8 na kupewa elfu 2 tu.

Sasa hio offa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasio kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
Siku hizi makato ya simu yamekua makubwa mno inabidi yapitiwe upya.

CCM DAMUDAMU! CHAMA CHA MAMA & BABA
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyonieleza

kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.

Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
Kwani wewe upo tayari kupata hasara katika biashara yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyonieleza

kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.

Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.

There ain't no such a thing as a free lunch!

Yani unaanza tu kupewa 20K kizembe?muwe mnajiongeza
 
Makato ya mitandaoni ya simu na mabenki kutoa au kuhamisha fedha ni jinamizi lililokosa mdhibiti
 
Acha uzushi.. hakuna offer kama hiyo mtandao wowote wa simu.. leta ushahidi sio unaleta maneno kuchafua biashara za watu.

Unataka kusema TCRA hawajaona wewe ndio umeona.

Watanzania tuwe wakweli

Mode angalia nyuzi kama hizi mzirekehishe.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyonieleza

kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.

Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzushi.. hakuna offer kama hiyo mtandao wowote wa simu.. leta ushahidi sio unaleta maneno kuchafua biashara za watu.

Unataka kusema TCRA hawajaona wewe ndio umeona.

Watanzania tuwe wakweli

Mode angalia nyuzi kama hizi mzirekehishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhan ww bado uko nyuma , jarbu kuuliza wenzako au fanya utafiti
 
Waache kupenda mtelezo. I hate hating people ila nikiona mtu anapenda vya bure huwa nammaindi sana.
Tatizo watu wabishi,na vyuma vilivyokaza hivi utarajie 20K kutoka tigo?

Nipo hapa sasa RAYAN THE DON ,nilikumiss pia

Ahsante sana kwa uwepo wako...Joanah.

Hakika nimepata nguvu maradufu ya kupambana na Korona.
 
vodacom nao wanalala wakiamka wanapandisha makato,juzi natuma pesa laki moja na elfu tano nikakatwa elfu 1600,yaani biashara ndani yao lakini wanakamua tu,hawana habari.kutoa elfu 7 wanachukua buku.

sema hamna marefu yasiyo na ncha,ipo siku watakuwa wanatambaa kutafuta wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kweli hawa jamaa ni wezi sana. Nilipata ujumbe kwamba ukiamisha pesa kutoka bank kuanzia laki 2 mpaka 5 kuleta kwenye tgopesa unapata 20,000. Nilihamisha laki 5 nikapata elfu 8 yaan nilikatwa banki na wao nikitoa nakatwa.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.

Kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.

Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom