Mafunzo ya ICT, kozi kumi na tatu, chagua uipendayo

Sir Hemedi

Senior Member
Sep 28, 2016
112
120
Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao.

Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa.

Kwa kuwa watu wameshughulishwa sana na wengi hawapati muda wa kutoka nyumbani na kwenda kujifunza sehemu nyingine, nimeamua kuyaweka mafunzo yote katika mfumo wa videos ambao utamwezesha mtu kusoma popote alipo kupitia simu au kompyuta yake.

NDIO, Mafunzo ninayotoa yapo katika mfumo wa Videos ambao unakuruhusu kudownload video za mafunzo na kuziangalia kupitia simu au kompyuta yako.

Mafunzo yamerahisishwa katika ufundishaji hivyo ni rahisi kueleweka hata kwa mtu ambaye hajawahi kutumia kompyuta

MAFUNZO YALIYOPO KWA SASA

NAKOZI / MAFUNZOADA (TSH)
01Website Design30,000/=
02Microsoft Excel for Business20,000/=
03Adobe Photoshop15,000/=
04Video Editing15,000/=
05Graphic Design katika Simu10,000/=
06Mafunzo ya Kupiga Windows15,000/=
07.Animations10,000/=
08Microsoft Publisher10,000/=
09Microsoft PowerPoint10,000/=
10Microsoft Word10,000/=
11YouTube Course10,000/=
12Microsoft Access10,000/=
13Blog Design10,000/=
Mafunzo yanaendeshwa kupitia kundi la Telegram kwa mfumo wa Videos na katika lugha ya Kiswahili.

Mafunzo yote yapo tayari, yaani ukijiunga muda huohuo unaanza kujifunza.

Nitumie Ujumbe WhatsApp: 0672 999 266 Kupata Maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom