mshana jnr

  1. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  2. Burkinabe

    Mzee wa Upako: Rais Samia na viongozi wengine wa juu wa Serikali, acheni chokochoko kwa wananchi

    Moja kati ya viongozi matata wa madhehebu ya Kikristo anayeitwa Mzee wa upako aliwahi kuyasema haya mwaka mmoja uliopita. Viongozi wetu ambao wako kwenye nafasi ya kutuamulia "kesho yetu", wanapaswa kufuata ushauri wa Mchungaji Mzee wa upako. Wasifanye maamuzi kwa kuongozwa na utashi wao tu...
  3. mike2k

    Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

    Habari za muda huu wana JF. Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka. Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha. So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata...
  4. Ugoromkali

    Dhambi haiwezi kuisha

    Habari zenu wana gt, ok tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye mada husika. Ni hivi, kulingana na habari za kuhusu dini mbalimbali hapa duniani karibia dini zote hususani dini za kiislamu na kikristo kumeandikwa katika vitabu vya dini hizo kuwa kutakuwa na siku ya mwisho (kiyama) na hapo...
  5. martinezstavo

    Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  6. KazidiBBM

    Mvuke kwenye maji ya baridi chanzo chake ni nini?

    Habari ya muda huu wanajamii, Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka. Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama...
  7. big soap

    Je, huu ndio uanaume wa kweli?

    Kwenye ubora wangu nikiwa kijana miaka 22 hivi nilishastrugle sana kwa bi dada fulani mwishoe nikaambulia patupu. Nikiwa na tahadhari baada ya kama mwaka na siku zake kadhaa nikapoint pengine. Ugonjwa ninaoumwa ni true love. Nahisi wakufunzi hawakunitendea haki kwa kutoniweka wazi mapema kuhusu...
  8. ijoz

    Ushauri kati ya magari haya mawili

    Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa kutoka makazi yangu, kati ya hizo takriban km nne ni vumbi, nyingine ni lami. Nimependezwa na uimara...
  9. D O A

    False History(Historia Bandia)

    leo akati napita pita mtandaoni nikaona hii kitu. Inasemekana kwamba kuna watu waliongeza miaka ili wawepo kwenye histori ya dunia. Mfano Julian calendar na Georgian calendar [Julia caesur alitunga calendar ili ajiweke kwenye historia] Afu anasema Ano Domino[A.D] ni harakati za watu kama kina...
  10. Course Coordinator

    Fahamu kama namba yako ya NIDA ilitumika kusajili laini za simu usizozifahamu kwa mawakala wajanja wa kusajili laini

    Wasalaam. Ili kujua unabonyeza *106# kisha usajili wa NIDA (Utaingiza NIDA ID yako), baada ya hapo zitakuja namba zote zilizosajiliwa kwa ID yako ya NIDA. Kama namba haijui siyo yako maana yake wakala (agent) alifanya ujanja kutumia ID yako kusajili line nyingine. Ukishaona kwenye list namba...
  11. NYAMUHANZI

    Subira yavuta kheri, ni kweli?

    Habari waheshimiwa!! Toka nimekuwa na kujitambua nimekuwa nikisikia huu usemi kuwa "subira yavuta heri" usemi huu nimeusikia si mara moja bali mara nyingi na sehemu tofauti na pia hutumiwa na watu wa rika tofauti kuanzia watoto, vijana, watu wazima hadi wazee na vikongwe. Binafsi mimi naona...
  12. hiram

    Ungekuwa mchawi ungechagua kipi?

    Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi: MOJA Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune PILI Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila...
  13. vini23

    Mwenye uweleewa wa biashara ya alluminium Windows na frame

    Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la...
  14. milionea wa kesho

    Nimeshuhudia aisee Kilimo kinalipa sana

    Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani. Asikuambie mtu kilimo kinalipa...
Back
Top Bottom