Ushauri kati ya magari haya mawili

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa kutoka makazi yangu, kati ya hizo takriban km nne ni vumbi, nyingine ni lami.

Nimependezwa na uimara wa Spacio, lakini pia nimependezwa na uimara wa IST first generation ambazo naamini kwenye second generation zitakuwa zimeboreshwa zaidi.

Ninaomba ushauri kuhusu gari ipi kati ya hizo nichukue, na kwa sababu gani nisinunue hiyo nyingine. Nafahamu bei ya Spacio inarange kati ya 11-14 Milioni na second generation inarange kati ya 14-16 M, gharama ya kununua si tatizo.

Naombeni ushauri, endapo ungekuwa wewe ungechagua ipi na kwa sababu gani.

USHAURI UJIKITE KWENYE HIZO GARI MBILI TU.

Naomba msinishauri aina nyingine ya gari sijui forester, imprezza, Carina, sijui RAV 4.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom