KazidiBBM
Member
- Jul 27, 2016
- 16
- 8
Habari ya muda huu wanajamii,
Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka.
Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama beseni au hata sahani utakuta kwenye hiko chombo pia panakuwa na maji baada ya ule mvuke kuchuruzika chini lakini yale maji ya kwenye chupa hayapungui yanabaki ujazo uleule kama yalivyokuwa awali.
Ninachohitaji kufahamu yale yaliyochuruzika huwa yanatoka wapi?
Asante