Najiuliza haya maswali
1. Kwanini tumeenda kwenye ghala ya pembe za ndovu je nao utalii japo mama kasema wameonyesha ili kukemea uharamia wa uuaji tembo, maana Kuna mzigo mule mpaka Peter mwenyewe kastuka yani kadata jinsi Mali iliyopo

2. Kwanini magufuri kwanini kuonyesha Dunia kuwa mzee alikuwa hambiliki Sasa mambo ni bull buull
 
Kwa hakika mambo ya sayanasi za jamii ni.magumu sana, Siyo kama natural sciences Ukikuta 1 + 2 = 3 dunia nzima, SOCIAL SCIENCES ziko subjected to value judgment, one's opinions na mfano wa hivyo....

Lolote linaweza kuwa jibu hasa ukipata mwitikio unaoweza kulifanya kuwa jibu....

Sijui ni kuwa alikuwa anatuma meseji gani; Je ni positive gesture kuwa pamoja na utalii nchi hii iko mstari wa mbele kupambana na utalii? Je ni kutoa majibu juu ya tuhuma flani ambazo labda tunatuhumiwa nazo kama nchi?

Nadhani maswali hata YOTE anaweza kutolewa majibu na wahusika watakapofanya press conference....
 
Nzuri ila Mpiga Mwingi kampaka sana Jiwe hii kitaalam inaitwa ondoka wakuseme.
 
documentary ilitengenezwa tz, na rais wa tz akatumika kama sehemu ya hiyo documentary. lakini cha ajabu imekuwa ngumu kwa wtz kuipata kirahisi na kuitazama.

asante mdau kwa ku-share link.
 
documentary ilitengenezwa tz, na rais wa tz akatumika kama sehemu ya hiyo documentary. lakini cha ajabu imekuwa ngumu kwa wtz kuipata kirahisi na kuitazama.

asante mdau kwa ku-share link.
Asante sana

Tuna haki zaidi kuliko asiyekuwa Mtanzania
 
Pamoja na kutangaza utalii kuna mambo ya kufanya:
1. Kuhakikisha kuna institutional setup nzuri kwenye mnyororo mzima wa sekta ya utalii ili kuhakikisha kuna viwango na huduma za viwango vya juu kwa wageni zaidi ya sehemu zingine [competitors]
2. Kuhakikisha kuna muunganiko wa sekta ya utalii na sekta zingine zinazoajiri watu wengi kama kilimo na mifugo na kuhakikisha sekta hizi zinanufaika na utalii
3. Kuwa na wawekezaji wazawa wa kutosha katika katika mnyororo wa thamani wa sekta ya utalii ili kuhakikisha kinacholetwa na wataliii sehemu kubwa kinabaki ndani ya nchi [kupitia multiplier effect kitachochea sekta zingine]
4. Kuandaa wataalam wa kutosha wenye ujuzi na wanaozingatia miiko katika kuihudumia sekta hii ili kuhakikisha ubora na viwango vinazingatiwa kwa sababu tukio moja kwa mtalii linaweza kabisa kuharibu hiki chote kilichofanyika kwa muda mrefu na gharama kubwa....
5. Wasaidizi wa Rais wafahamu Mkuu wa Nchi amefanya sehemu yake na wao kila moja asimamie majukumu yake...
6. Wasani wa ndani na nje wanaotaka kufilm movie maporini basi wapewe DISCOUNT na wewe encouraged kutumia VIVUTIO VYETU kuandaa kazi zao la kisanii ili vivutio hivi viendelee kuwa live kwenye nyoyo za wengi...
 
Back
Top Bottom